kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 66
- 131
Habari za muda Huu wapendwa,
Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo.
Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana niliita fundi akanipigia hesabu na kuniambia itagarimu tripu 16 ? Naomba kujuzwa maana ndio mara yangu ya kwanza kujenga.