gillard
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 227
- 165
Hapana ndugu ninachojaribu ni kuweka sawa kuwa watu waheshimu uhuru wa kutoa maoni kama ambavyo maoni yao wanapotaka yaheshimiwe......
Maoni ya msanii Diamond yamezusha mhemko kwa kuwa ni maoni yasiyopendeza masikioni mwa wengi....lakini yanabaki kuwa ni maoni yake kama ambavyo wengine wangetoa maoni yao.......kwanini maoni ya msanii Ney wa mitego yaliyojaa matusi na kejeli yashangiliwe...!!?? Ni kwa sababu msanii huyo ametoa maoni ambayo yanapendeza masikioni mwa wengi ingawa yana ukakasi.......
Hapa sasa nimekuelewa mkuu, hata mimi napenda tuheshimu maoni ya wengine, sikupenda tu Diamond alivyotumia ile picha ya Nyerere pale kwa maudhui ya wimbo wenyewe, unaweza ona niliwaza nini mana haujapita muda mrefu Makongoro Nyerere amelizungumzia hilo.
I don't care kuhusu hao wengine but nampenda dogo ndio mana nilidhani haikuwa sahihi kwa yeye kuweka element za mtafaruku huu wa Makonda na Gwajima, I could be wrong but yeah, that's my own honest opinions.
[HASHTAG]#Pamoja[/HASHTAG]