MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
haki ya nani tena huyu anatafuta sababu ya kuoa mke wa tatu.... mtaniambia
Wanawake wengine huwa hamnazo kweli. Nyie wote wawili MNAKESHEA MUHOGO huo huo mmoja sasa MAKELELE au BIFU za nini? ndiyo maana huwa mnasema kuwa sisi Wanaume TUNAWADHARAU lakini kumbe tatizo mnalo nyie. sana sana wanachokifanya hao Wake zake ni KUJIDHALILISHA tu wao wenyewe.