MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,801
Kipo cha kujifunza na nimeshajifunza tayari.
Asante kwa maelezo/masimulizi yako yaliyotukuka.
Leo umetuliza kichwa na umeandika kwa upole sana hadi raha.
Kumbe na wewe ni mtu mzuri namna hii basi tu unajitoaga fahamu.
Nimekupendaje sasa?
Keep it up my popoma cleverbright.
majani yangu yamekamatwa mpakani migori na namanga hivyo sasa nina wiki ya pili " sijalanduka ".