4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,977
- 10,226
Sasa unapaa mpaka nje ya gori, bora akaupige mwingi amlenge kipa, Sasa unapaa au kwenda pembeniAnaupiga mwingi
Sasa unapaa mpaka nje ya gori, bora akaupige mwingi amlenge kipa, Sasa unapaa au kwenda pembeniAnaupiga mwingi
Watu wataacha kujenga sasa
Tusifike huko jamani tuvumiliane tuUnaua ajira nyingi sana. Ukiangalia chain yote nzima, wazalishaji, importers, exporters kwa nchi jirani, middleman, wajenzi, fundi wa mtaani, Engineers, archictectures, mama ntilie anaowauzia wajenzi chakula, maduka ya vifaa vyote vya ujenzi, wiring, mabomba, rangi kila kitu.
Kilimo tunaua, machinga tunawachinja, ujenzi tunaua, bandarini ujinga mtupu. Biashara gani itabaki? Wananchi watajiongeza, ujambazi, wizi umalaya, ukabaji na sekta zote huru kama hizo ambazo hazina kodi, kuingiliwa na serikali yetu tukufu.
Tusifike huko jamani tuvumiliane tu
HahahaSera, usimamizi ndio unaelekeza wapi wanananchi waende, waelekee, ajira, biashara, maisha, usalama watu binafsi, taifa.
Unabana kila sehemu, binadamu wanahitaji chakula, nyumba, elimu, afya. Watajiongeza tu, wape mwaka mmoja kwa kuendekeza upuuzi huu.
Sidhani kama umeelewa hojaSera, usimamizi ndio unaelekeza wapi wanananchi waende, waelekee, ajira, biashara, maisha, usalama watu binafsi, taifa.
Unabana kila sehemu, binadamu wanahitaji chakula, nyumba, elimu, afya. Watajiongeza tu, wape mwaka mmoja kwa kuendekeza upuuzi huu.