Mwananchi: Bei ya vifaa vya ujenzi moto, wanaojenga wahaha

Natetea kwa sababu wengi wenu ni wapumbavu hata hamuelewi maana ya mfumuko wa bei ila mnaropka tuu hapa.

Tofauti yangu na nyie ni kwamba mnakuja na porojo za chuki zenu na mimi nakuja na facts.

Chagua mojawapo ya nchi hizi hapa hazina kabisa mfumuko wa bei hamia ukaishi..

View attachment 2022828

View attachment 2022829
Unalolote mwepesi tu, umejaza makaratasi ndani ,mavyeti kichwani empty
 
Nasema hivi nchi hiyo hatuna viongozi kila mmoja ashinde mechi zake pumbaaavuuu sanaa hawa watu
Pic%20Layer_202111241813110.jpg
 
Somebody must get up and do sumn.. iwe raisi,iwe waziri lazima atatue hii changamoto haya mambo ya tunalichukua ni uswahili huu. Watu wanahitaji vitendo sio tutalishughulikia. Problem solving approach imetoweka for the last 9 month. Will power ya JPM hata Khaligraph jones ameeiimba. Boldness.
 
Zitto"Hizi ni athari tu za kufungua uchumi uliokuwa umefungwa kwa miaka mitano".

BAVICHA,"Vifaa vilikuwa vimepanda kitambo sema vyombo vya habari havikuwa huru kutoa habari za aina hii".

SSH,25Th November 2021.
"Sasa ninaona viashiria vya kukua kwa maendeleo ya watu na si vitu".

Nini to Sali Te?-MPR
 
Wewe mwenye lolote weka hapa huo upumbavu wako.
Ebu kaa mbali Bwana TOKA nenda zako huko, usituletee ujuaji kwenye maisha ya watu

KILA watu wakisema mfumuko wa bei unakuja na vitakwim vya nchi nyingine , kwamba kisa nchi flani Kuna mfumuko wa bei Basi NASI tz tuseme sawa ,sisi ni sisi na wao ni wao,

Leo waziri wa viwanda pia anajiuliza why vifaa vya ujenzi vina panda, wewe upo na porojo tu,kwamba una akili kumzidi waziri mwenye dhamana Iyo,

Kujifanya unajua kumbe huna lolote,

TOKA Bwana ,nenda huko,
 
Back
Top Bottom