Mwananchi: Bei ya vifaa vya ujenzi moto, wanaojenga wahaha

Suluhisho ni ccm kuondolewa kwanguvu bila kuondolewa matatizo nazidi kila kukicha ogopa chama kinachojiweka chenyewe bila kutemea kura ya mtu
Rubbish,vipi kwingine Afrika walikoondolewa kwa nguvu au vinginevyo wamepata maendeleo? 😂😂

Kama hujui chanzo cha matatizo utahangaika bure tuu.
 
Mkuu dar joto Acha tule kiyoyozi

Mm huwa silaumu wala siumi vyovyote sawa tu

Kazi iendeleee

Ova

View attachment 2022837
Watu wa Dar ni walalamishi Sana.Kawaambie Hawa hapa kwamba tozo hazina maana uone watakachokueleza 👇

Screenshot_20211121-132004.png

Screenshot_20211121-132128.png
 
Rubbish,vipi kwingine Afrika walikoondolewa kwa nguvu au vinginevyo wamepata maendeleo? 😂😂

Kama hujui chanzo cha matatizo utahangaika bure tuu.
Chanzo cha matatizo hapa kwetu ni ccm kuiba uchaguzi sababu za kuiba uchaguzi nikupandisha maisha kutoza kodi za kero na wizi wakodi zetu.
 
Ccm utumia kodi Ili kuwafanya watz wawe masikini ili isianguke,ukiwa masikini ni lzm uwe mjinga sababu umasikini upunguza uwezo wa kufikiri upungue sababu kukosa lishe, ukiwa mjinga utaichagua ccm kwani inawekwa madarakani na wajinga.
 
Siyo kweli
 
DEMAND KUWA KUBWA NI ISHARA YA VYUMA KULEGEA ,UPIGAJI MWINGI KWA WALE WALIO KWENYE VITENGO .WANA FIDIA MAGEPU PINDI JEMBE LILIPO BANA UBADHIRIFU WA MALI ZA UMA,MPAKA WAZIRI WA WIZARA ANATOA MAJIBU YA UKAKASI KWAMBA NA YEYE ANA SHANGAA KWA NINI VIME PANDA HIVYO ,IKISHINDWA KUJUA KWAMBA HALI KAMA HII NI KAA LA MOTO KWA WANANCHI WAKIPATO CHA KAWAIDA HUKO VIJIJINI ,YEYE KAMA WAZIRI ANAPASWA AFANYE QUICK INTERVATION
 
“Walipokuwa wanauza nje walikuwa wanatoa kwa wauzaji wa nje asilimia 13, ina maana walikuwa wanapata punguzo kwenye suala la kodi, sasa baada ya hiki kilichotokea zile 13 zote zimerudi. Hiki ndicho kitu kikubwa kinacholeta tatizo,’’ alisema.
Tatizo ni makodi ya hovyo ya bi, Tozo.
 
DEMAND KUWA KUBWA NI ISHARA YA VYUMA KULEGEA ,UPIGAJI MWINGI KWA WALE WALIO KWENYE VITENGO .WANA FIDIA MAGEPU PINDI JEMBE LILIPO BANA UBADHIRIFU WA MALI ZA UMA,MPAKA WAZIRI WA WIZARA ANATOA MAJIBU YA UKAKASI KWAMBA NA YEYE ANA SHANGAA KWA NINI VIME PANDA HIVYO ,IKISHINDWA KUJUA KWAMBA HALI KAMA HII NI KAA LA MOTO KWA WANANCHI WAKIPATO CHA KAWAIDA HUKO VIJIJINI ,YEYE KAMA WAZIRI ANAPASWA AFANYE QUICK INTERVATION
Hivi mnapoandika na maherufi makubwa , uoni Kama ni sawa nakupiga makelele ..?!
HAISOMEKI by Shaidi..
 
Materials zitoke afrika zipelekwe China
Alafu wao wanakuja kutukongota mabei

Ova
Hadi pumba mashineni zimepanda Bei, au nazo zinatoka China?
Huu mfumuko Wala hauhusiani na bidhaa zinazotoka nje, Kuna za ndani humuhumu Ila Sasa hivi hazishikiki
 
Issue ya kodi,tozo kwa mwananchi haikwepeki
Kulipa,kukatwa duniani

Ova
Kabla ya tozo serikali ilikua ikitoa wapi pesa? Kikwete alijengaje shule zote za kata? Alijengaje barabara? Jiwe alijengaje na yeye? Mbona umekua mjinga sana?
 
DEMAND KUWA KUBWA NI ISHARA YA VYUMA KULEGEA ,UPIGAJI MWINGI KWA WALE WALIO KWENYE VITENGO .WANA FIDIA MAGEPU PINDI JEMBE LILIPO BANA UBADHIRIFU WA MALI ZA UMA,MPAKA WAZIRI WA WIZARA ANATOA MAJIBU YA UKAKASI KWAMBA NA YEYE ANA SHANGAA KWA NINI VIME PANDA HIVYO ,IKISHINDWA KUJUA KWAMBA HALI KAMA HII NI KAA LA MOTO KWA WANANCHI WAKIPATO CHA KAWAIDA HUKO VIJIJINI ,YEYE KAMA WAZIRI ANAPASWA AFANYE QUICK INTERVATION
Umeisoma hiyo taarifa kwenye gazeti la mwananchi?
Ni kwamba wateja hakuna
 
Back
Top Bottom