Hawa wanatuharibia kweli ukiwa viwanja vya ndege nje unapotoa pasport ya Tz unatazamwa sana na wanaikagua umepitia nchi zipi inauma sana kuna.siku nilikataliwa kuingia Hong Kong sababu niliongozana na Mtz moja passport yake ilikuwa imepotia sehem tata wakomeshwe hao mashamba yapo tz