Mwanadada wa Kitanzania akamatwa China na madawa ya kulevya

Shoga katoka kusuka yeboyebo mpaka kuuza unga looooh!! Ndio maana mambo yake super kumbe sio saluni pekeyake
ATII ALIKUWA WA SALUNI? HATA HIVYO YAELEKEA BADO ANA KAMBA MGUUNI NADHANI NDO 1ST TIME SURA HAIJACHANGAMKA, TEHETEHE BY THE WAY KUNA MAJITU YANA ROHO NGUMU MI PANADOL YENYEWE INANIKWAMA KOONI IJEKUWA LIPIPI LIKUBWA HIVI MMMHHHGGG
 
labda wanachanganya na bamia ili ziteleze na kumezeka kwa urahisi! Short cut ni mbaya jamani!
 
ATII ALIKUWA WA SALUNI HATA HIVYO YAELEKEA BADO ANA KMBA MGUUNI DADHANI NDO 1ST TIME SURA HAIJACHANGAMKA TEHETEHE BY THE WAY KUNA MAJITU YANA ROHO NGUMU MI PANADOL YENYEWE INANIKWAMA KOONI IJEKUWA LIPIPI LIKUBWA HIVI MMMHHHGGG

Kweli yataka moyo, hayo madonge moja moja mpaka yote yapotelee tumboni...mmh..
 
labda wanachanganya na bamia ili ziteleze na kumezeka kwa urahisi! Short cut ni mbaya jamani!
!!!!!! ANGEENDELEA TUU NA USUSI WAKE BY THE WAY, USUSI UNAKLIPA DEILE WAWEZA INGIZA 50 ...SASA UKUJIPANGA SI UNATOKA KABISA PUMBAV WACHA ATIWE KITANZI


KWANZA HAWA NDO WANAPOTEZA NGUVU KAZI YA TAIFAVIJANA WANATEKETEA


CC: MATEJA WA VITUO VYA DALADALA NA HAWA WASANII ANZIA RC NA WENZIE NA WENGINEO WANAOBWIA UNGA
 
Wenyewe wanakwambia mjini njoo na kichwa chako tu akili utazikuta huku huku.:p:p
nfyuuu.jpg
 
Back
Top Bottom