Mungu saidia wapigania haki m23 waikamate kinshasa

Juice world

JF-Expert Member
Jun 7, 2022
1,982
2,698
Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila m23 ni dude kubwa sanaa ambalo Africa linaogopeka
 
Tuiombe na Tanzania iwasaidie M23 ili washinde dhidi ya FARDC ili kuyigomboa inji yetu yiliyo na Mali mingi ya kulisa afrika yote
 
It is possible kufika Kishansa kumbuka kipindi cha kumtoa Mobuto wanyamulenge walifika ikulu. Vita siyo mchezo nvhi ikiwa jeshi dhaifu
This time around DRC anabackup kubwa. 2025 ni mwisho wa M23 they all gonna die, mark my words.
 
This time around DRC anabackup kubwa. 2025 ni mwisho wa M23 they all gonna die, mark my words.
Endelea kuota watu hawacheki na kima wanafanya vitendo goma ipo mikononi Sasa wanaenda kinshasa we endelea kupiga kelele mmzeoea kuonea raia wajinga nyie bado ccm 🤣🤣🤣🤣
 
Mungu wape nguvu Hawa wapambanaji wa haki za wananchi waweze kuikamata kinshasa na kuweza kuleta Maendeleo Kwa wacongoman bila ubaguzi wowote sababu Hawa ndio wapigania haki wa kweli japo wanapigana dhidi ya magaidi ya FARDC waliozoea kunyonya raia wameenda kumsaidia gaidi mwenzao tshekedi ila m23 ni dude kubwa sanaa ambalo Africa linaogopeka
Naona tk linakuwasha hukai ukatulia. Mungu gani awe upande wa wahalifu?
 
Endelea kuota watu hawacheki na kima wanafanya vitendo goma ipo mikononi Sasa wanaenda kinshasa we endelea kupiga kelele 🤣🤣🤣🤣
Unazani goma to kinshasa ni Ubongo na Kisarawe. Hapo ni zaid ya kilometer 2300 mkuu
 
Back
Top Bottom