Msaada: Naomba njia sahihi ya kukataa uteuzi wa rais bila kumkasirisha Rais

Asanteni sana wakuu kwa michango yenu,suala lilikamilika
Bora ukubali ufanye chini ya kiwango, uondolewe
bado hujasema, mpaka useme 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Unakubali Ila wakati wa kuapishwa jifanye hujui kusoma vizuri kama yule mzee wangu ili akutengue bila kujua kakusaidia wewe
Bora ukatae maana naamini ukiwa RC wahuni qmwatakuendesha watakavyo.hautaweza kuvivaa viatu vya makonda

.
 
Inamaana hauko tayari kuahirisha kufikiri kwa nafsi?, Yaani kujizima data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…