Msaada: Naomba njia sahihi ya kukataa uteuzi wa rais bila kumkasirisha Rais

Asanteni sana wakuu kwa michango yenu,suala lilikamilika
Bora ukubali ufanye chini ya kiwango, uondolewe
bado hujasema, mpaka useme 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Unakubali Ila wakati wa kuapishwa jifanye hujui kusoma vizuri kama yule mzee wangu ili akutengue bila kujua kakusaidia wewe
Bora ukatae maana naamini ukiwa RC wahuni qmwatakuendesha watakavyo.hautaweza kuvivaa viatu vya makonda

.
 
Sio utani.

Wakuu heshima kwenu.

Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC.

Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna nafasi ya uRC ambayo kijana anayoishika kwa sasa anaonekana kupwaya hasa kwa kauli zake tata na hivyo unaandaliwa mchakato wa yeye kurudishwa katika majukumu mengine ya chama na hivyo nafasi yake kupatiwa mimi.

Kwa sasa nina furaha kubwa na kazi yangu ninayoifanya na hivyo nina mpango wa kukataa uteuzi huu. Naomba msaada na njia sahihi ya kukataa uteuzi huu bila kumhudhi mh Rais.

Natanguliza shukrani.
Inamaana hauko tayari kuahirisha kufikiri kwa nafsi?, Yaani kujizima data
 
Back
Top Bottom