Mradi wa umeme wa makaa ya mawe wa Kiwira wa 600 MW ulifia wapi?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,946
Kipindi cha JK kulikuwa na pilika pilika kuhusu huu mradi. NSSF walikuwa bize sana ili waukamilishe.

Kwa enzi hizo, 600 MW ilikua kama nusu ya umeme wote tuliokuwa tunazalisha.

Ikumbukwe kuwa umeme wa makaa bado unatumika sana duniani. Karibu asilimia 40 ya umeme duniani unatikana na makaa. Kwa China ni kama asilimia 50.

Huu mradi umefia wapi? Maana tunatakiwa kuzalisha umeme kutoka kwenye kila chanzo.
 
Back
Top Bottom