stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 10,881
- 21,623
Kwa hio wamevuka UgaidiUlawiti ni zaidi ya ugaidi
Kwa hio wamevuka UgaidiUlawiti ni zaidi ya ugaidi
Sifikiri kama dini huwa zinafundisha hivyo ,naona tu ni hulka ya mtu binafsi kwasababu mambo ya hivyo yanatokea pande zote .Dini
ya kweli
Wale wa proud to be musilim🤷
Kwamba Madrassa zina nini?Serikali ingeangalia nini chakufanya kwenye hizi Madrasa kulingana na hali ya sasa.
Kumfunga jiwe na kumtosa baharini ni kuwapelekea samaki kitoweo kisichofaa, samaki hawapaswi kumtafuna mjinga kama huyu.Kwa hio gaidi huyo alievaa kofia ya Mwalimu wa Madrassa apigwe Mawe hadharani mpaka afe au afungwe jiwe kubwa kisha atoswe baharini
15 kawaingiza kitu kigumuZote zisajiliwe na ikiwezakana Madrasa iwe na walimu wawili wakike na wakiume wenye leseni zinazotambulika na mamlaka baada ya proper assessment, in absence ya mwalimu mmoja hakuna kusoma.
Kuhurumia wafungwa ni kwa sababu siyo wafungwa wote wana makosa makubwa na pia kuna wengi wamefungwa bila kosa. Siku hizi ubakaji wa watoto wadogo ni tatizo kubwa sana na kiini ni uongozi mbovu wa nchi na jamii kwa ujumla.Sana.Harafu unakuta mtu anasema muwahurumie wafungwa,duu Huwa sielewi kabisa
Kwa hio na yeye atafutiwe madume 15 wamfumueKumfunga jiwe na kumtosa baharini ni kuwapelekea samaki kitoweo kisichofaa, samaki hawapaswi kumtafuna mjinga kama huyu.
Huo ndio msingi wa hizo dini za kishenzi zilizoletwa na wakoloni. Ni mishenzi , wauwaji na mikatili, imetesa sana babu zetu utumwani.View attachment 3006679
Inasikitisha kwa kweli kwa kiongozi wa dini kufanya uchafu huu.
Ni huzuni mkuuHahaha
nimesema achomwe moto abaki majivu na hayo majibu yakazikwe kisiwani huko ambako binadamu hawaishi.Kwa hio na yeye atafutiwe madume 15 wamfumue
🤣 🤣View attachment 3006690
Japo siamini kama dini huwa zinawatuma kufanya mambo ya ovyo ,ila nina uhakika waalifu wengi hujificha kwenye mgongo wa dini. Hasa hawa wanaojiita walokole.
Wanakula macho sanaView attachment 3006679
Inasikitisha kwa kweli kwa kiongozi wa dini kufanya uchafu huu.