Michael Jackson ni mmoja ya watu wenye akili sana waliopata kuzaliwa Duniani

Ni mwanamuziki bora wa muda wote duniani , RIP.


Kwako wewe na wapenda Pop music.....mimi wala simfagilii na sioni mchango wake kimuziki duniani. Ninacho kumbuka kwake ni zile kashfa za kutaka kushikishwa ukuta na watoto wadogo kwa kuwachezea vidushe vyao na kutaka kuvinyonya.
 
Jamaa yupo vizuri sana upande wowote,,uwezo wa kucheza pia kuimba yan kiivo yaaaaaaan;;;
 
reggae pop basketball football hip-hop boxing. Wote blacks, ni kwamba tumeumbwa kuja kufanya burudani au tunaakili sana kufanya lolote lile na tukilifanya tunalitawala? Huwa najiuliza saana hili jambo?
 
Michael Jackson alikuwa ni kibaraka/Ajenti wa Shetani.

---Freemason walianza kumlea ktk fani ya mziki tangu akiwa mdogo sana, mpaka pale alipofika ni masonic ndo wamemfikisha.

---Michael alitumiwa kama Ajent wa kuutangazia ulimwengu kuwa kubadili dini it is possible na ni normal. Na ni kweli baada ya yeye kubadili rangi, dunia nzima ikaona ni mambo ya kawaida kubadili rangi.

---Kupitia yeye ndie alieusambazia ulimwengu suala la watoto wa kupandikiza.

---Haya mambo ya kuchonga pua na baadhi ya viungo vya mwili vilisambazwa na Michael Jackson.

---Hata Nyota ambayo jamaa alikuwa aking'ara nayo ni nyota ambazo jamaa alipandikiziwa, ktk ulimwengu wa roho mtu kupewa nyota ambayo sio yako inawezekana kabisa. Na hata hapa Tanzania kuna viongozi wetu tu ambao walipewa na wanapewa hizi nyota.

---Hizi alama sijui za kukunja vidole na styles zingine nyingi kutoka kuzimu zilisambazwa na huyu bwana. Ile ya vidole kuna haitoshi, wakaamua watengeneze film inayoitwa "SPIDERMAN" ili kuwahadaa watu na hiyo style na wanadamu tuone kuwa ni kawaida.


Michael Jackson alikiri kuwa ni kweli yeye alikuwa freemason, na alitoka huko baada ya kuona freemason wanampa majukumu mazito zaidi na Michael akakataa. Hapo ndipo ugomvi wao ulipoanza, Michael aliandamwa sana maana amekiuka Agano kati yake na Malango ya Giza. Moja ya matukio makubwa ni lile la kutaka kumfilisi kwa kupitia dada yake kucheza kanda ya ngono. Kuna Album yake moja hivi aliitoa ikiwa na nembo flani hivi ya ajabu, ktk ile nembo kuna sura, wanyama na vitu vingine. Sasa pale kila kitu kilikuwa na maana yake.



Michael Jackson alijisemea kabisa kwamba yeye alikuwa ni Freemason, Je tuna watu mashuhuri wangapi duniani ambao hawajajisema?
 
huyu jamaa Michael Jackson namuelewa sana na ujinga wake wote ,pesA,kiburi n.k nataka nifahamu kwanini alibadili dini akawa muislam


hata hivyo kuna trend ya watu wengi wAliofanya kila aina ya machukizo mwisho wa siku huwa wanatubu sifahamu kama ndio kusilimu na kuwa waislamu ,haijalishi walikuwa wapagani ama LA,

nahisi kuna kitu kimefichwa hii dunia.
Acha tu Mkuu, tukimwaga hapa itaonekana kama vile tunazisema imani za watu. Kwa hili tuliache kidogo.
 
Naona haujanisoma vizuri...simkatai kimuziki ila ninachosema mimi ni kwamba jamaa alikuwa "a weirdo" na sikubaliani kama kweli alikuwa na akili kihivyo.....angekuwa na akili kama mleta mada anavyodai, then asingetaka kujibadili maumbile ili afanane na wazungu.
Yule mtu alitengezwa na afike pale alipofikia, haya mambo ya rangi, pua, watoto wa kupandika n.k jamaa alipewa tu na Ibilisi ili kuwahadaa wanadamu wamkufuru Muumba wao. Na ni kweli kupitia MJ ibilisi alifanikiwa sana.
 
Kwako wewe na wapenda Pop music.....mimi wala simfagilii na sioni mchango wake kimuziki duniani. Ninacho kumbuka kwake ni zile kashfa za kutaka kushikishwa ukuta na watoto wadogo kwa kuwachezea vidushe vyao na kutaka kuvinyonya.
Any evidence? au ni vistory ulivyovisoma kwenye Tabloids???...
 
Remember there was some styles that only him managed to play on stage, his dancers never played them, you should know that he's not like diamond platinumz......., and yet you've already told that there's no single type of intelligence, consider that issue as his weakness......
Umeongea vizuri ila nimekutoa akili baada ya kumtaja diamond...yaan hujamfikiria usher,criss brown ama Ginuwine?!!...
 
mimi nilimuona ana akili pale tu alibadili dini na kuwa muislamu. aliacha anasa na kusali sala 5 na aliimba nyimbo za kumsifu Allah. alafu miezi michache tu akafariki. Allah amjaalie katika watu wa peponi.
 
Back
Top Bottom