Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,560
Wale wamasai wa LoliondoEarth song ni moja ya nyimbo zake ninazozikubali sana, video yake baadhi ya clip zimechukuliwa Tanzania
Wale wamasai wa LoliondoEarth song ni moja ya nyimbo zake ninazozikubali sana, video yake baadhi ya clip zimechukuliwa Tanzania
wasomi wengi wanapoangalia suala la akili kuna vitu wanasahau. kuwa kuna multiple intelligence. or variety of intelligence. unaweza ukawa na akili ya darasani au akili ya uwanjani ikiwa umchezaji wa mchezo flan.
michael jackson alikuwa na akili ambayo wakati mwingine watu wanaamua kuita kipaji. ukiangalia music aliokuwa akiimba na kucheza michael jackson utagundua kuwa alikuwa anatumia akili nyingi sana kuuandaa na kufaham aucheze vipi. angalia namna ambavyo majukwaa yake yalikuwa yanaandaliwa. wakati flan mpaka kifaru kilikuwa kinaletwa jukwaani.
angalia tamasha alilolifanya live huko munich ujeruman. wajeruman maelfu walifurika jukwaani wengi wao hata english hawakuwa wakiijua lakini waliimba naye, wengine walizimia kwa hisia, walilia kwa kusikiliza tu maneno ambayo hawakuwa wakijua maana yake. lakini namna alivyokuwa akicheza na kuonesha hisia zake kwenye maneno hayo nao pia walikuwa wakijihisi wanaelewa na kusikia ile hali aliyokuwa akiisikia. hii ni kutokana na utunzi wa kiakili na uimbaji pia. utaona pia katika tamasha hilo jinsi ambavyo aliandaa mpaka kifaru kuja jukwaani na mazingira mbalimbali katika wimbo wake wa "What about us"
akili si walikuwa nazo akina Aristotle,Socrates,Archimedes, Einstein etc. tukiangalia kwa upande huu mwingine pia ni akili nyingi zilitumika kwa yeye kuweza kuteka nyoyo za watu namna ile. kama ni mtu mwenye kuamini ushirikina ungesema aliwaroga. the mana alipendwa kila sehemu.
sikiliza mashairi ya nyimbo zake. kama huna akili huwezi tunga mashairi yale. angalia video zake. ambazo pia zilikuwa na maelekezo yake mengi anataka video iweje. hii yote ni akili. wadau tunapowaza suala la akili tusiangalie upande mmoja tukasahau kila mtu ana akili zake kwa eneo lake. aina yake ya uchezaji ambayo ilikuwa ni ya kimapinduzi ni uvumbuzi alioufanya ukiangalia ile style ya moon walker. au angalia ule ubunifu wa kwenye wimbo wa smooth criminal pale inapoonekana ameweza kuishinda gravitational force. anaenda mwili mzima yeye na wachezaj wake na kurudi pasipo kuanguka. umejiuliza aulitumia mbinu gani? huoni kama hiyo ni akili kwa lolote alilolifanya?
tumkumbuke kama mmoja ya watu waliokuwa na akili na wenye mchango wa kipekee hapa duniani. kwa kupitia music wake wengi walikuwa motivated kuimba na kucheza. na wengi waliburudishwa na kuelimishwa.
Hata mimi aiseeNilikuwa nashake sana ila nikifika pale kwenye zero gravity nabaki kushangaa.
Mashair ya wimbo wa YOU ARE NOT ALONE nasikia aliandikiwa na R KELLYMashairi kadhaa hakuwa akiandika yy
Na wewe aliwahi kukushika?Kumbe ndiyo maana alikuwa anapenda kucheza na watoto wadogo na kushika nyeto zao?
Hiyo ni killing machine kwa Babylon Bob Pia alikuwa fundi bhanaVipi Bob Marley?
Duh!Keeli aisee alikuja mara 2 mara ya kwanza alikuja kushut video ya EARTH SONG mara ya pili alikuja kumpa tano rais MWINYI
Awe nani?Alikuwa anaandaliwa na freemason
Ok. Ndio maana huo wimbo siupendigi kivileee. Smooth criminal bana.... This song moves my heartMashair ya wimbo wa YOU ARE NOT ALONE nasikia aliandikiwa na R KELLY
Akili yako ina makengeza. Biased.huyu jamaa Michael Jackson namuelewa sana na ujinga wake wote ,pesA,kiburi n.k nataka nifahamu kwanini alibadili dini akawa muislam
hata hivyo kuna trend ya watu wengi wAliofanya kila aina ya machukizo mwisho wa siku huwa wanatubu sifahamu kama ndio kusilimu na kuwa waislamu ,haijalishi walikuwa wapagani ama LA,
nahisi kuna kitu kimefichwa hii dunia.
Lucky Dube vp mkuu, wakina Kenny Roger, Jim reeves, na Don WilliamDunia hii haitapa wanamuziki hawa watatu, Michael Jacko, Whitney Houston na mtu mzima R. Kelly. Hawa haitatokea.
ha ha ha.. mkuu ile style ni ubunifu ila ni uongo sio kweli... ipo show ambayo alienda live lkn kuna namna wanavyofanya chini ya kiatu na kwenye stage,ni kuna kuwa kama kuna kishikizo ambacho kinashikana na kiatu and then anaenda ni rahisi ila you must have balance..Nilikuwa nashake sana ila nikifika pale kwenye zero gravity nabaki kushangaa.
Freemason ni nini?Alikuwa anaandaliwa na freemason