Mi mgeni humu na huu mtandao nimeupenda naomba utaratibu tuende sawa

Mkuu vipi?

Naona unacheka kwa kujisifia sifia, umepata breakfast hapo Blue pearl, umepaki gari yako maridadi nje audi Q7, naona umesahau kabisa habari za joto la Dar,.....

Hivi mkuu, siku hizi unaendaga kuogelea RAMADA?
 
Nambie ulokutana nayo
 
nimeipenda hii
 
 
Sawa mkuu kuanzia Leo hii tecno inaitwa IPhone 7 alafu kesho ninaziara ya kwenda ugiliki ha haaaa umefanya nicheke sana wee ndo umenipa somo
[HASHTAG]#mkuu[/HASHTAG]
ANGALIZO: Humu pia kuna bibi kifimbocheza anaitwa FaizaFoxy hivyo kuwa makini na uandishi wako, acha uandishi wa kifesibukufesibuku na kiInsta ushakuwa mtu mzima wewe.

alafu ×
halafu √

ugiliki ×
Ugiriki √
 
Utaratibu ni kwamba unapojiunga kwa mara ya kwanza unatakiwa utupie picha zako hapa pamoja na namba yako ya simu mkuu!
 
Huku tunaishi km kioo tu ukicheka tunacheka! Ukinuna unazidi kutuuzi.....Kuwa flexible ukiwa humu,Ukiwa na hasira utakufa umeshikilia keypad zako.
 
umesahau watu wote ni educated degree na kuendelea
 
Nambie ulokutana nayo
Unataka kujua? lunch wapi kwanza? nasikia mafuta ya gari yamepanda bei? Hawa emirates wababaishaji sana ? Hili jengo hapa Dubai wamelikosea sana...Hizi ndio story zetu huku, mambo ya nauli za daladala wala hatuzijui sisi .hahahaaaaaaaaa ' KARIBU JAMII FORUM '
 
ANGALIZO: Humu pia kuna bibi kifimbocheza anaitwa FaizaFoxy hivyo kuwa makini na uandishi wako, acha uandishi wa kifesibukufesibuku na kiInsta ushakuwa mtu mzima wewe.

alafu ×
halafu √

ugiliki ×
Ugiriki √
Nishaanza kupata habar zake utasikia huko shulen mnaenda kusomea ujinga huyu bb noma
 
Jaman mm kwann nilichelewa huku jf raha sana kila mtu boss
 
Hahahahah umemaliza boss tunafunga mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…