Wengi waliopata div 4 wanaenda ualimu baada ya kukataliwa vyuo vyote mpaka vya St Joseph. Nursing kunawashinda. Wala asifute hiyo kauli. Kauli haikumaanisha walimu wote Ila wale failures.Mhe. Bashe kwanza hongera sana kwa kuingia bungeni baada ya kufanyiwa figisu nyingi 2010 na hatimaye ukaenguliwa eti wewe si mtanzania. Na kwa kipindi kifupi tu jina lako limeanza kuingia vichwani mwa watanzania wachache wanofuatilia bunge manane ya usiku.
Nakuja hapa kukutaka utengue kauli yako iliyonukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari kwamba "ualimu ni kichaka cha waliofeli". Binafsi sijakusikia wala kukuona moja kwa moja kwa kuwa hilo bunge lenu linalooneshwa manane ya usiku wala sina habari nalo. Lkn kwa kuwa hujakanusha nukuu hii iliyoenea katika vyombo vyote vya habari bila shaka uliitoa kauli hii.
Kauli hii inawezekana uliitoa kwa dhamira njema kabisa lkn hukufikiria madhara yake kwa ualimu na walimu. Maana inatweza na kudhalilisha ualimu na walimu. Kwa mtu wa hadhi yako unayesifika kuwa mwanasiasa machachari unayechipukia unapaswa kuwa makini kabla ya kufungua kinywa chako.
Jiulize maswali yafuatayo mhe. Bashe.
1. Kufeli maana yake nn?
2. Taasisi nyingine za serikali hakuna waliofeli?
Elimu ni uwezo wa kutambua na kupambana/kukabiliana na changamoto zilizopo ktk mazingira. Anaye elimika anapaswa kuwa huru kifikra na kiuchumi.
Kimsingi elimu ktk taifa letu haimpi msomi ujuzi na uwezo wa kutambua na kupambana na changamoto zinazomzunguka. Tumeshuhudia mkuu wa mkoa aliyekuwa mstari wa mbele kuhimiza vijana wajiajiri akilia njaa baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo.
Yawezekana hata wewe Bashe unajiona mwenye kufaulu kwasabb tu umepata ubunge. Nje ya ubunge huna mbinu ya kupata mlo au kuendesha maisha
Tunaona maprofesa wakililia mikataba ya kuendelea na kazi hata baada ya kufikia umri wa kustaafu. Hii ni ishara tosha kuwa hawana ujuzi na uwezo wa kupambana nje ya ajira.
Lkn kama taasisi nyingine zina waliofaulu. Inakuwaje walimu waliofeli wakaingia kwenye ajira ili hali mifumo ya kuajiri serikalini imeshikwa na walioelimika??
Mhe. Bashe ulikuwa too specific katika kauli yako. Ingekuwa vema ungesema "serikalini ni kichaka cha waliofeli".
-bungeni hakuna waliofeli?
-polisi hakuna waliofeli?
-mahospitalini hakuna waliofeli?
- jeshinini hakuna waliofeli?
- wizarani hakuna waliofeli?
-tra, pccb, ewura, n.k hakuna waliofeli huko?
Nionavyo mm watanzania wote wamefeli. Ndiyo maana hata chama chako kikakuzushia kashfa zisizo na miguu kuwa wewe ni msomali ili tu usiwe mbunge. Waliofaulu wanaweza kufanya hivyo?
Lkn waliofaulu wamefanya nn ktk nchi hii? Mm naona kuna walioenda shule na kupata vyeti tu. Ndiyo maana nchi ina kila kitu halafu umaskini umekithiri. Mpk leo nchi inaagiza vijiti vya kuchokonolea meno!!!? Hao waliofaulu wako wapi?
Majengo, yanaanguka hovyo, miji yetu yote haijapangwa, viwanda vinakufa kuna waliofaulu kweli? Kuna watakao kuja na majibu ya watunga sera na sheria. Hawa pia wamefaulu??
Daah!! Niishie hapa.
Wako Kigodoro.
unaishi nchi gani mkuu? UDSM wote wanaochukua ualimu ni division 1 na 2 (wachache sana)Ualimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
Iyo kauli ipo sahii kabisa na hkuna hja ya kuitengua. Walimu wa TZ ni wale waliopata grades za mwisho mwisho. Hili swala halina ubish kabiza. Walimu wa bongo ni dvn 3 n 4 ambao wanaenda kufundisha wanafunzi et wapate dvn 1.
Mshahara mnono tu ndiyo jibuHilo ndilo swala ambalo jamii inatakiwa kulitafutia jibu. Nilipokuwa mdogo walimu walikuwa wakiheshimika sana hata kusomea ualimu ilikuwa sifa nzuri. Kukufikia miaka ya 80 hadhi ya mwalimu ikaanza kushuka, vijana wakagundua kufanya ulanguzi unapata pesa kuliko mwalimu. Na ufaulu ukaanza kuoroomoka kwa kasi. Kama jamii ili kumfanya mfaulu au mzazi akubali mwanae aliemgharimia aende ualimu, itabidi mtazamo wa Serikali kuhusu maslahi na madai ya walimu yashughulikiwe, kuboresha mazingira ya kazi, japo sehemu nyingi zinahitaji hili tuweke kiupambele taaluma hii. Sijasikia walimu, wa shule chini ya upili, wakilalamikia maslahi katika nchi zilizoendelea. Kupanga ni kuchagua.
Magufuli Mwalimu,Majaliwa Mwalimu.Kwa kutumia conclusion yako Magufuli na Majaliwa ni Division Four maana wangepata 1,2 au 3 wasingeenda WalimuUalimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
Mnaposema walimu mnaongelea walimu gani?Kigodoro una uhakika nadhani. Form five huwa wanachukua div 1 and 2. Rarely div 3. Fanya homework kidogo. Angalia majina ya wanaokwend ualimu na tafuta pass zao NECTA (siku hizi wanaweka namba, tafuta ya zamani before Exam number system) utauona ukweli. Shule za binafsi wanafuatilia matokeo ya form 4 na six, kama div 4 hawakuajili!
Mimi hapa mkuuUalimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
Maslahi ya walimu yanatosha tu.Watumie muda mwingi walionao kufanya shughuli nyingne za kiuchumi.Kamwe ni ngumu kuja kupata maslahi yanayokutosha kama we ni mwajiriwa.Hata huko bungeni watapiga kelele lkn mambo yatakuwa ni yaleyale nothing will changeEnyi walimu achaneni na Bashe, mpiganie maslahi yenu & mfanye kazi kwa bidii kurudisha heshima yenu ILIYOPOTEA kwenye jamii.
Bashe sio adui yenu.
Adui zenu ni MFUMO & NYIE wenyewe.
Sasa, mtaanza Bashe, Bashe, Bashee....
Tupo wengi, chunguza vizuri kabla hujapotosha umma. Kama una mamlaka yoyote nenda ukachunguze vyeti na performance za walimu wako.Ualimu ni sehemu nyeti huwezi kulinganisha na sehemu ulizozitaja.Wote uliowataja wanatokana na mwalimu, hivyo mwalimu akiwa mbovu kila kitu kinakuwa kibovu.
Let us face the reality! Kuna mwanafunzi aliyepata division 1 or 2 (nadhani hata three??????) akaenda ualimu?
HUJANIELEWA, dIV 1 &2 WANAKWENDA FORM FIVE AND FINALLY FORM SIX. KUTOKA FORM SIX DIV 1, 2 &3 ??? WANAKWENDA UNIVERSITY. Cream ya university graduates wanabaki pale kufundisha! (zamani ukipata first class na Upper second unabaki pale kufundisha. Ilikuwa policy na lazima!jaribu kuchanganua kiundan zaid yule atakae toka form v na kwenda kusomea ualimu hua anafundisha primary school anayetoka form six huwa wakifundisha o level kw hyo unataka kuniambia yule mwenye phd na kuwa mwalimu wa chuo nae alifeli?
Kuna sababu zimetolewa humu kwa nini mtu wa div. 1, 2 anakwenda ualimu. Soma thred hii utaona sababu . Katika hali ya kawaida huwezi kumaliza form six with div 1 ukaenda ualimu kama huna sababu ya msingi- kupata mkopo, ajira etc. Wapo, lakini wana sababu za msingi sanaTupo wengi, chunguza vizuri kabla hujapotosha umma. Kama una mamlaka yoyote nenda ukachunguze vyeti na performance za walimu wako.
Sawa, una sabau za msingi kama vile kupata mkopo, kupata ajira. Haiwezekani ukaenda ualimu kama huna sababu ya msingi na una div 1,2.Mimi hapa mkuu
Unasema kweli "WOTE", hao basi wana sababu ya kupata mikopo, ajira (ualimu bado ajira zipo) Nakuhakikishia kama mikopo itatolewa kwa wote, na upendeleo wa ajira kwa walimu ukakoma, hakuna atakayekwenda ualimu. Ukweli ni huo ualimu ni shida sana kwa kila hali! Hasa serikalini hakufai!unaishi nchi gani mkuu? UDSM wote wanaochukua ualimu ni division 1 na 2 (wachache sana)
Ni siasa hakuna aliyeipenda UPE na walikuwa wanafundisha darasa la kwanza tu! Nina mdogo wangu ni UPE lakini mpaka sasa bado unaona kuna pengo- bahati mbaya hakujiendeleza.Mkuu sidhani km uko sahihi,nadhani mtoa mada ana hoja ingawa pia km angepata muda wa kuisikiliza ile hotuba nadhani asingemuomba afute kauli. Bashe alikuwa analenga kubadili mfumo mzima wa elimu yetu.
Hoja kwamba waalimu waliofeli mitihani ya ordinary level na advanced wanaangusha elimu yetu,nadhani ni uvivu tu wa kusoma historia. Huko nyuma mbona waliokuwa wanafeli darasa la saba ndo walipelekwa ualimu na ndo walitufundisha sisi. Ukiboresha sekta ya elimu ukawalipa waalimu vizuri,kila mtu atatamani kuwa mwalimu. Kwa sasa ualimu ni option ya mwisho kabisaa kwa msomi yeyote. Anachagua ualimu au kwenda police baada ya kushindikana maeneo mengine.
Sisi tumefundishwa vizuri kabisa na waalimu waliokuwa wanaitwa wa-UPE. Hawa ni darasa la saba waliofeli lkn walipatiwa na mafunzo ya ualimu na wakaipenda kazi yao.