Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 124
- 186
Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili nasisi tuweze kupunguza matatizo ya kukosa ajira kwa wahitimu wa chuo.Mfano unakuta ajira zimetangazwa 100 watu wanaomba 30,000 kwa uwiano huo ni bahati Sana mtu kupata kazi.Ila cha ajabu wahusika wala hawana muda.Mfano takukuru wameita watu kwaende mafunzo ccp vijana waliomba zaidi ya 40,000 ila wamechukuliwa awazidi 400.Hili ni tatizo kubwa sana siku za usoni wadau nyie mnaona shida nini mpaka watawala hawataki kubadili mfumo wa elimu