Meli za Mazayuni zimelipuliwa baharini (video clip)

1
20231212_114128.jpg
 
Mtanzania anafurahi kulipuliwa meli ya wazayuni.

Kazi kweli kweli.
M Tanzania muislam(m weusi) ana ukaribu zaidi wa kiundugu(unaotengenezwa na dini,) na wa Arab zaidi ya wa Afrika weusi wenzie!
Hivyo hivyo, mkristo yoyote(ukiacha Catholics), ana ukaribu zaidi na wayahudi! Kuliko weusi wenzie.
Muislam mweusi, wa naigeria akiuliwa na bokoharam(magaidi ya kiislam), haiumi Sana kea kwa wa Islam wa bongo kama mwarabu wa Palestine akiuliwa na myahudi,
Upuuzi wa, dini huu
 
Ungetafakari kwa makini ungeelewa. Nakueleza hivi hata ipite miaka 50, serikali yoyote ya Yemen itakayokuwa madarakani italetewa bili!, haijalishi aliyelipua ni waasi au la, as long as wanawield power yoyote ya kimamlka ndani ya Yemen, basi zigo litatupiwa serikali yoyote ile ijayo hata kama ni hao Wahaouth watashinda civil war. La sivyo hakuna mikopo kutoka IMF, WB au grants. Ndivyo Yahudi anavyooperate!
Wewe unaongea porojo Yemen uifahamu wewe.
YEMEN ndiyo waarabu peke yao wenye msimamo miaka yote ni taifa kongwe kasome historia Yemem unaleta mambo ya IMF sijui World bank

Hakuna Nchi ingine yoyote yenye msimamo kama Yemen katika hao waarabu wote.

Ndio maana wale mpaka leo ni maskini.
Manake Hela za haramu hawali
Yemen wakiamua kitu wako radhi kufa njaa kuliko kudhalilika.
 
Hawa ndiyo Yemen…
 

Attachments

  • 361e745c-a609-4ccc-b375-d959e6a00261.mov
    8.2 MB
Wayemeni walisema hawataki kabisa meli za mazayuni ikatize kwenye sehemu wanazozifikia, yaani wasizione kabisa kwenye bahari yao au ya karibu yao, mpaka wawache kabisa kuwauwa na kuwatesa Wapalestina bila ya sababu yoyote.

Baada ya kuiteka meli moja wiki iliyopita sasa wameripua nyingine tatu zikiwa baharini:

View attachment 2825256

Na hizbollah wanaendelea kutuma makombora ya mbali huko Kaskazini mwa Israel kama mnavyojionea kwenye video clip.
Nchi ile ni ndogo, ila hata ikivamiwa na nani hapa Duniani, mvamizi atajuta baadaye
 
Hizo ni gharama za vita! Hata meli zake zingelipuliwa lakini lazima Israel ifikie malengo yake!
Kama Hamas wanajificha kwenye nyumba za Makazi, Hospitali, Mashule, kambi za Wakimbizi, Miskitini, nk
Israel haina choice nyingine bali ni kulipua nyumba na majengo hayo!
Ndiyo maana raia wengi wa kipalestina wanauawa!
 
Back
Top Bottom