GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,310
- 7,568
Peponi utakuwa bikra wa mabwana wangapi?
Peponi utakuwa bikra wa mabwana wangapi?
M Tanzania muislam(m weusi) ana ukaribu zaidi wa kiundugu(unaotengenezwa na dini,) na wa Arab zaidi ya wa Afrika weusi wenzie!Mtanzania anafurahi kulipuliwa meli ya wazayuni.
Kazi kweli kweli.
Wewe unaongea porojo Yemen uifahamu wewe.Ungetafakari kwa makini ungeelewa. Nakueleza hivi hata ipite miaka 50, serikali yoyote ya Yemen itakayokuwa madarakani italetewa bili!, haijalishi aliyelipua ni waasi au la, as long as wanawield power yoyote ya kimamlka ndani ya Yemen, basi zigo litatupiwa serikali yoyote ile ijayo hata kama ni hao Wahaouth watashinda civil war. La sivyo hakuna mikopo kutoka IMF, WB au grants. Ndivyo Yahudi anavyooperate!
Nchi ile ni ndogo, ila hata ikivamiwa na nani hapa Duniani, mvamizi atajuta baadayeWayemeni walisema hawataki kabisa meli za mazayuni ikatize kwenye sehemu wanazozifikia, yaani wasizione kabisa kwenye bahari yao au ya karibu yao, mpaka wawache kabisa kuwauwa na kuwatesa Wapalestina bila ya sababu yoyote.
Baada ya kuiteka meli moja wiki iliyopita sasa wameripua nyingine tatu zikiwa baharini:
View attachment 2825256
Na hizbollah wanaendelea kutuma makombora ya mbali huko Kaskazini mwa Israel kama mnavyojionea kwenye video clip.