Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,073
Daaa wewe jamaa una kumbukumbu mzuri sana,jamani eeee mwenye hizo picha atusaidie kutupia humu jamvini tuzioneHebu leta na ile ya Nyalandu akiwa Ujerumani na waziri wa maliasili wa Kenya ,na ile akiwa na Aunt Ezekiel
Ukimaliza lete za Jakaya akiwa na 50cent na Boys to men