HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,548
- Thread starter
- #61
Natural gas ina methane ambayo husababisha global warming , natural gas ikiwa ni mojawapo ya fossil fueli apigwa vita ! Achana na gesi,New Zealand ina ng'ombe wengi wanaotoa hiyo methane kutoka katika mfumo wao wa meng'enyo wa chakula na kusababisha pollution nchini mwao na wameshauriwa kupunguza kabisa kiasi cha ng'ombe au kuacha kabisa kufuga ng'ombe! Bill gates alishasema huko mbeleni inatakiwa kuwa na synthetic meat ili kupunguza idadi ua ng'ombe wanaotoa methane! Methane hiyo hiyo inapatikana kwenye gesi ya MtwaraNow or never kivipi wakati ndio kwanza mahitaji yake yatazidi kuongenzeka katika miaka ijayo kwa ajili ya kuzalisha umeme, mbona unaongea kama taahira fulani hivi? Ubongo umeacha wapi?