FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,783
- 43,560
Unajibu ambacho sijahoji, je, hii gesi si itatumika kuzalisha umeme wa kuendesha hayo magari, sasa huu utaahira wa kusema gesi itakosa soko unatoka wapi? Ukizingatia hadi sasa 75% ya umeme unazalishwa kwa fossil fuels, na gesi asilia ndio cleanest ya fossil fuels, sasa huu uxengerema na uxhoga wa kusema gesi tuuze kwa bei ya hasara kisa gari zitakuwa za umeme unatoka wapi? Nyie mataahira nini???!!gesi ikishachakatwa tu haiwezi kukosa soko. hata hapa tanzania tu kwa matumizi ya ndani, kenya matumizi ya ndani, rwanda, burundi na zambia, soko linatosha hata bila kupeleka ulaya au asia. kwa Tanzania sasahivi watu wengi wameshasahau kupika bila gesi.
tenchnolojia inaenda kasi sana. mwaka 2007 nilipoenda america kwa mara ya kwanza, nilizikuta hizi flat screen ambazo ninyi ndio zimefika huku siku hizi. tulikuwa tunaunua movie online kama tunavyoweza kufanya hapa sasahivi kwa hizi tv smart. kuna maendeleo mengi tu kabla hayajafika huku kwetu huko nje huwa yanakuwa yametumika karibu miaka 10 ndio yanatufukia. si ukute kuna alternative ya gas imeshaanza kutumika huko nje kwenye vitu ambavyo gas yetu ingetumia, miaka 10 ijayo tunakuja kukosa pa kuuza. uza tu.