Marufuku ya nishati asilia (Fossil fuels), dizeli, gesi, mafuta ya taa petroli na nyinginezo ipo njiani

Kwa hapa tulipofikia ni kujitahidi kwenda na teknolojia ila sio kusema maisha yatashindikana kisa umekosa kitu flan.

Miaka ya nyuma ile ili ufanikiwe lazima usome na ufaulu upate kazi nzuri na mshahara mnono na ndo madon waliotesa mjini..ila sasa vijana wamalefeli shule wameingua kitaa wamejiajiri na wamefanikiwa kuliko wasomi.

Fikiria pikpik za mjapan zilivyokua ghali hadi mtu anayeimiliki aliheshimika mtaa mzima cheki sasa pkpk wala gari sio ishu.

Cha msinhi ni kua usiogope teknolojia yoyote duniani kea sasa hakuna kisicho na mbadala
Kabisa, vyovyote vile najua tutatoboa ila hii imetukuta off guard kabisa na bado wengi hawana uelewa juu ya hili
 
Unajibu ambacho sijahoji, je, hii gesi si itatumika kuzalisha umeme wa kuendesha hayo magari, sasa huu utaahira wa kusema gesi itakosa soko unatoka wapi? Ukizingatia hadi sasa 75% ya umeme unazalishwa kwa fossil fuels, na gesi asilia ndio cleanest ya fossil fuels, sasa huu uxengerema na uxhoga wa kusema gesi tuuze kwa bei ya hasara kisa gari zitakuwa za umeme unatoka wapi? Nyie mataahira nini???!!
Shida ni kwamba gari zinazokuja huko mbeleni hazina system za kutumia fossil fuels
 
Sawa, si zitatumia umeme? Na gesi asilia si inatumika kuzalisha umeme? Mmerogwa na nani nyie?!!, mbona mnatoa hoja nyepesi kama kindergaten?
Nikweli zinatumia umeme lakini hiyo gesi asilia inapigwa vita kwenye kuzalisha umeme pia, sio logical kutumia gesi kuzalisha umeme ambao unaenda kutumika kwenye magari yasiyitumia mafuta inakua ni hakuna kilichofanyika hapo! Nishati asilia zinapigwa marufuku sio tu kwenye magari bali kuzalishia umeme pia yaani kwaufupi ni zisitumike kabisa, extinction
 
Kuondoa fossil fuel inaweza kuchukua zaidi ya miaka 100, huwezi kuendesha mitambo mikubwa na hata magari makubwa kwa kutumia nishati ya umeme tu............nishati ya mafuta bado itaendelea kutumika sana kwa nchi zinazoendelea.
 
Sawa, si zitatumia umeme? Na gesi asilia si inatumika kuzalisha umeme? Mmerogwa na nani nyie?!!, mbona mnatoa hoja nyepesi kama kindergaten?
Hata kama sio umeme kaka unafikiri kwa nchi zetu tunao uwezo wa kutekeleza kila sheria kama wazungu wafanyavyo?? Bado tutaendelea kutumia trch ya zaman mpaka pale tutakapopata uwezo wa kumudu tech mpya...fikiria kuna tech ya 1980 mpaka sasa africa hatujazimudu sembuse ya 2020 ndo tuimudu by 2030??
Maisha lazima yasonge tuu
 
Kuondoa fossil fuel inaweza kuchukua zaidi ya miaka 100, huwezi kuendesha mitambo mikubwa na hata magari makubwa kwa kutumia nishati ya umeme tu............nishati ya mafuta bado itaendelea kutumika sana kwa nchi zinazoendelea.
Kuiburn kabisa ni jambo haliwezekani ila kuipunguza inawezekana kwa sababu wataanza wenye mavinda makubwa na mengi hasa ulaya na asia ...Africa uchafuzi wao mwingi ni kwenye ukataji wa miti kwa Ajili ya nishati .
 
Nikweli zinatumia umeme lakini hiyo gesi asilia inapigwa vita kwenye kuzalisha umeme pia, sio logical kutumia gesi kuzalisha umeme ambao unaenda kutumika kwenye magari yasiyitumia mafuta inakua ni hakuna kilichofanyika hapo! Nishati asilia zinapigwa marufuku sio tu kwenye magari bali kuzalishia umeme pia yaani kwaufupi ni zisitumike kabisa, extinction
75% ya umeme unaozalishwa duniani kwa sasa unatokana na fossil fuels, na katika aina zote za fossil fuels, Natural gas ndio cleanest kuliko zote, hivyo kama ni kuziondoa, natural gas ndio itakuwa ya mwisho kuondoka kwenye uzalishaji umeme.., Solar, wind, hydro, geothermal na nuclear ni 25% tu, hivyo gesi ina angalau miaka 100 katika uzalishaji umeme duniani, maana ndio safi kuliko zote za fossil fuels
 
Hata kama sio umeme kaka unafikiri kwa nchi zetu tunao uwezo wa kutekeleza kila sheria kama wazungu wafanyavyo?? Bado tutaendelea kutumia trch ya zaman mpaka pale tutakapopata uwezo wa kumudu tech mpya...fikiria kuna tech ya 1980 mpaka sasa africa hatujazimudu sembuse ya 2020 ndo tuimudu by 2030??
Maisha lazima yasonge tuu
So hii inajibu vipi hoja kwamba gesi bado itaendelea kutumika kuzalisha umeme wa kuendesha hayo magari na hivyo haitakuwa useless kama mleta mada anavyodai? Kama teknolojia ya magari ya umeme ikichelewa, then fine, tutendelea kuitumia Kinyerezi kuzalisha umeme wa viwandani na majumbani, shida iko wapi?
 
75% ya umeme unaozalishwa duniani kwa sasa unatokana na fossil fuels, na katika aina zote za fossil fuels, Natural gas ndio cleanest kuliko zote, hivyo kama ni kuziondoa, natural gas ndio itakuwa ya mwisho kuondoka kwenye uzalishaji umeme.., Solar, wind, hydro, geothermal na nuclear ni 25% tu, hivyo gesi ina angalau miaka 100 katika uzalishaji umeme duniani, maana ndio safi kuliko zote za fossil fuels
Ni kweli, kwa hiyo juu ya gesi yetu its now or never
 
Kuondoa fossil fuel inaweza kuchukua zaidi ya miaka 100, huwezi kuendesha mitambo mikubwa na hata magari makubwa kwa kutumia nishati ya umeme tu............nishati ya mafuta bado itaendelea kutumika sana kwa nchi zinazoendelea.
Wameweka very ambitious target huko Glasgow, tusibiri tuone
 
ni kweli mkuu chaja za magari zinapaswa kua universal , makampuni yanayotengeneza betri yanatakiwa kutumia teknolojia moja nafkiri hili nalo litakuja ili kuzuia kila kampuni kua na chaji zake tu ambazo haziingiliani na kampuni nyingine?
Kwani piston zaSCANIA zinaingiliana na za MAN au VOLVO.
Kumbuka hiu ni indistrial 4.0 it is another industrial revolution kila kampuni inakuja kivyake.
Magari ta umeme tanabebwa na vitu vikuu vinne
1.Motor
2. Battery
3.Charger
4.Software.
Hapa duniani tsknolojua ya softwsre huwa hazifnani japo zina milango ya kuingiluana, mfano window ya linux hawana undugu na microsoft.
Mxixi wa teknolojia ya magari ya umeme ni battery, hivyo kola ksmpuni anajaribu kuja na innivation bora zaidi kuliko mwenzie.
Pamoja na yoye hayo kampuni ya TESLA imeweka patents zake zote open source, hata wew ukitaka download blue print kaanze kuunda magari ya TESLA kama una mtaji.
Msifikiri wazungu wanapendana kivile kama tunavyoamimi humu. Wazungu huficha ujuzi hata wao kwa wao, kwa hio usitegemee magari kuwa na universal standards.
 
kwa namna maendeleo ya dunia yanavyoenda kasi, si ukute mkaja kuiuza kwa hasara tu. wakati mwingine namkubali maza, kuwa maliasili zilizopo tuzichimbe haraka tutumie kuendeleza nchi kuliko kujifanya tuzihifadhi tuzitumie badaye wakati hatuna kitu mkononi cha kuendelezea nchi sasahivi. nakumbuka bimkubwa hadi alitaka tuanze kuchimba madini kwenye mbuga....kuliko kuyaacha chini. dunia yenyewe hii karibia inaisha, ni sawa na mfanyabiashara anayekopa mkopo apate mtaji aendeleze biashara, biashara yake inaenda vizuri kweli, halafu wewe kajambanani ati unaogopa mkopo unasubiri hadi siku Mungu akikujalia ukipata mkopo (from no where you even know) ndio uendeleze biashara. utaaachwa umesimama wenzio wanaendelea. wachakate tu hiyo gesi na madini yote, yaani popote penye resources chakata haraka tutumie hela hiyo kujenga nchi. tunasubiri nini?nyerere amesubirisha yawe chini kuna faida gani? kwani hadi leo hatuna akili bado.
Kweli sisi maskini tunaogopa mikopo,hata kama tunao dhamana ya kukopa,wakati hao tunaowaita matajiri,wanakopa.
 
... sasa sisi wa kusuburia hadi zichakae Ulaya au Japan ndio na sie tumiliki mikweche itakuwaje? Mingi tunayoagiza leo 2021 ni make za 2005 backwards. Kazi ipo.
Kinachosababisha tusitumie magari latest ni ufala wa unaowaitaa viongozi kwa kuja na masera ya kipuuzi kwenye kodi.
 
Kwani piston zaSCANIA zinaingiliana na za MAN au VOLVO.
Kumbuka hiu ni indistrial 4.0 it is another industrial revolution kila kampuni inakuja kivyake.
Magari ta umeme tanabebwa na vitu vikuu vinne
1.Motor
2. Battery
3.Charger
4.Software.
Hapa duniani tsknolojua ya softwsre huwa hazifnani japo zina milango ya kuingiluana, mfano window ya linux hawana undugu na microsoft.
Mxixi wa teknolojia ya magari ya umeme ni battery, hivyo kola ksmpuni anajaribu kuja na innivation bora zaidi kuliko mwenzie.
Pamoja na yoye hayo kampuni ya TESLA imeweka patents zake zote open source, hata wew ukitaka download blue print kaanze kuunda magari ya TESLA kama una mtaji.
Msifikiri wazungu wanapendana kivile kama tunavyoamimi humu. Wazungu huficha ujuzi hata wao kwa wao, kwa hio usitegemee magari kuwa na universal standards.
Ni kweli kwa ajili ya ushindani pia ndio maana wanaficha ujuzi, ila naifananisha hii ya betri na chaja za C-port! Kumekua na concerns za kimazingira kwamba kila kampuni ya simu inajitengenezea aina zake za chaja hivyo wakakaa kujadili kwamba simu zote zitumie aina moja ya chaja haijalishi ni iPhone au Android ( C type ) ili kupunguza e- wastes! Naamini huko mbelen pia hizi EV zitakua zinaingiliana chaja pia ili walau kuokoa gharama! Imagine for now ukinunua Tesla unajitegemea kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom