Marufuku ya nishati asilia (Fossil fuels), dizeli, gesi, mafuta ya taa petroli na nyinginezo ipo njiani

Kabisa, vyovyote vile najua tutatoboa ila hii imetukuta off guard kabisa na bado wengi hawana uelewa juu ya hili
 
Shida ni kwamba gari zinazokuja huko mbeleni hazina system za kutumia fossil fuels
 
Sawa, si zitatumia umeme? Na gesi asilia si inatumika kuzalisha umeme? Mmerogwa na nani nyie?!!, mbona mnatoa hoja nyepesi kama kindergaten?
Nikweli zinatumia umeme lakini hiyo gesi asilia inapigwa vita kwenye kuzalisha umeme pia, sio logical kutumia gesi kuzalisha umeme ambao unaenda kutumika kwenye magari yasiyitumia mafuta inakua ni hakuna kilichofanyika hapo! Nishati asilia zinapigwa marufuku sio tu kwenye magari bali kuzalishia umeme pia yaani kwaufupi ni zisitumike kabisa, extinction
 
Kuondoa fossil fuel inaweza kuchukua zaidi ya miaka 100, huwezi kuendesha mitambo mikubwa na hata magari makubwa kwa kutumia nishati ya umeme tu............nishati ya mafuta bado itaendelea kutumika sana kwa nchi zinazoendelea.
 
Sawa, si zitatumia umeme? Na gesi asilia si inatumika kuzalisha umeme? Mmerogwa na nani nyie?!!, mbona mnatoa hoja nyepesi kama kindergaten?
Hata kama sio umeme kaka unafikiri kwa nchi zetu tunao uwezo wa kutekeleza kila sheria kama wazungu wafanyavyo?? Bado tutaendelea kutumia trch ya zaman mpaka pale tutakapopata uwezo wa kumudu tech mpya...fikiria kuna tech ya 1980 mpaka sasa africa hatujazimudu sembuse ya 2020 ndo tuimudu by 2030??
Maisha lazima yasonge tuu
 
Kuondoa fossil fuel inaweza kuchukua zaidi ya miaka 100, huwezi kuendesha mitambo mikubwa na hata magari makubwa kwa kutumia nishati ya umeme tu............nishati ya mafuta bado itaendelea kutumika sana kwa nchi zinazoendelea.
Kuiburn kabisa ni jambo haliwezekani ila kuipunguza inawezekana kwa sababu wataanza wenye mavinda makubwa na mengi hasa ulaya na asia ...Africa uchafuzi wao mwingi ni kwenye ukataji wa miti kwa Ajili ya nishati .
 
75% ya umeme unaozalishwa duniani kwa sasa unatokana na fossil fuels, na katika aina zote za fossil fuels, Natural gas ndio cleanest kuliko zote, hivyo kama ni kuziondoa, natural gas ndio itakuwa ya mwisho kuondoka kwenye uzalishaji umeme.., Solar, wind, hydro, geothermal na nuclear ni 25% tu, hivyo gesi ina angalau miaka 100 katika uzalishaji umeme duniani, maana ndio safi kuliko zote za fossil fuels
 
So hii inajibu vipi hoja kwamba gesi bado itaendelea kutumika kuzalisha umeme wa kuendesha hayo magari na hivyo haitakuwa useless kama mleta mada anavyodai? Kama teknolojia ya magari ya umeme ikichelewa, then fine, tutendelea kuitumia Kinyerezi kuzalisha umeme wa viwandani na majumbani, shida iko wapi?
 
Ni kweli, kwa hiyo juu ya gesi yetu its now or never
 
Kuondoa fossil fuel inaweza kuchukua zaidi ya miaka 100, huwezi kuendesha mitambo mikubwa na hata magari makubwa kwa kutumia nishati ya umeme tu............nishati ya mafuta bado itaendelea kutumika sana kwa nchi zinazoendelea.
Wameweka very ambitious target huko Glasgow, tusibiri tuone
 
ni kweli mkuu chaja za magari zinapaswa kua universal , makampuni yanayotengeneza betri yanatakiwa kutumia teknolojia moja nafkiri hili nalo litakuja ili kuzuia kila kampuni kua na chaji zake tu ambazo haziingiliani na kampuni nyingine?
Kwani piston zaSCANIA zinaingiliana na za MAN au VOLVO.
Kumbuka hiu ni indistrial 4.0 it is another industrial revolution kila kampuni inakuja kivyake.
Magari ta umeme tanabebwa na vitu vikuu vinne
1.Motor
2. Battery
3.Charger
4.Software.
Hapa duniani tsknolojua ya softwsre huwa hazifnani japo zina milango ya kuingiluana, mfano window ya linux hawana undugu na microsoft.
Mxixi wa teknolojia ya magari ya umeme ni battery, hivyo kola ksmpuni anajaribu kuja na innivation bora zaidi kuliko mwenzie.
Pamoja na yoye hayo kampuni ya TESLA imeweka patents zake zote open source, hata wew ukitaka download blue print kaanze kuunda magari ya TESLA kama una mtaji.
Msifikiri wazungu wanapendana kivile kama tunavyoamimi humu. Wazungu huficha ujuzi hata wao kwa wao, kwa hio usitegemee magari kuwa na universal standards.
 
Kweli sisi maskini tunaogopa mikopo,hata kama tunao dhamana ya kukopa,wakati hao tunaowaita matajiri,wanakopa.
 
... sasa sisi wa kusuburia hadi zichakae Ulaya au Japan ndio na sie tumiliki mikweche itakuwaje? Mingi tunayoagiza leo 2021 ni make za 2005 backwards. Kazi ipo.
Kinachosababisha tusitumie magari latest ni ufala wa unaowaitaa viongozi kwa kuja na masera ya kipuuzi kwenye kodi.
 
Ni kweli kwa ajili ya ushindani pia ndio maana wanaficha ujuzi, ila naifananisha hii ya betri na chaja za C-port! Kumekua na concerns za kimazingira kwamba kila kampuni ya simu inajitengenezea aina zake za chaja hivyo wakakaa kujadili kwamba simu zote zitumie aina moja ya chaja haijalishi ni iPhone au Android ( C type ) ili kupunguza e- wastes! Naamini huko mbelen pia hizi EV zitakua zinaingiliana chaja pia ili walau kuokoa gharama! Imagine for now ukinunua Tesla unajitegemea kwa kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…