Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,131
21,888
Kwa hali hii, tutafika?

Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X

Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara wa watu 20.

Hii ni siyo chini ya Sh105 milioni. Hizi ni pesa za nani? Bashite hataki kuingia katika nyumba ya serikali. Kwanini unaruhusu haya yatokee? Je, unakubaliana naye katika huu UFISADI? Kwanini asiingie katika nyumba ya serikali?

IMG-20240411-WA0041.jpg
 
Heshima kwenu.

Wakaazi wa Jiji la Arusha walikumbwa na mafuriko makubwa usiku wa jana kuamkia leo.

Wakati hali hiyo ikiwatesa wananchi Mkuu wao wa Mkoa anasaga na kuponda maisha Grand Melia huku akiambana na msafara mkubwa wa magari ya kifahari pasipo na sababu za msingi.

Ngongo kwasasa Ngaramtoni ya chini.
 
Back
Top Bottom