Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

Kauli zisizo na mashiko hizi. Kukopa wakati riba iko juu kuliko kila kitu. Yeye kakopa wapi kujenga hotel?
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.

Mkuu mbona hata Nkuruzinza na Mugabe ni maraisi wa wazawa wa Burundi na Zimbabwe!
 
Mtoa post mbumbumbu sana, hajui kama bank zina mashart ya ukopaji ? Je huyo rais kaondoa au kupunguza mashart au kawawezesha wananchi kukidhi mashart?
Wajasiriamali wazawa wanakopa na kufaidika na kujenga viwanda, wewe unahangaika na maneno.
Ridhika na umasikini.
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
Hayo magazeti yanayopigiwa kelele na Mheshimiwa yaliyo onywa ni yapi? , sasa uenda magazeti yatashindwa kuongea ukweli na kukosoa na yakabaki kusifia tu
 
Watu wengine mnapenda tu watu wawaseme mchukie. Hivi hii nayo ni habari eti Rais kasema watu wakope!! Kusema watu wakakope ndo kunampa sifa ya kuwa mtetezi wa wazawa wanyonge. Jk alidiriki kutoa mabilioni ya mikopo yeye hakuwa mtetezi. Kuhimiza watu wakakope kwenye Benki yenye riba asilimia 22 si kuwa mtetezi Wa wanyonge bali Afisa Masoko Wa Benki husika.
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.

Hii Sera ya wazawa iko kwennye ilani yenu?

Achni nyimbo za kuhamashisha ubaguzi ambazo hazina tija wala mikakati. Maneno bila mipango ni hovyo tu!
 
safi sana mtetezi wa wanyonge
mnyonge gani huyo unayemzungumzia?
-Kodi na vat vyiko juu
-No increment na hakuna kupandishwa madaraja?
-HELSB 15% kaa kimyaaa

MTETEZI GANI WA WANYONGE UNAFANYA UHAKIKI USIOISHA ILI USIWAPE WATU STAHIKI ZAO.
ACHENI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA KUPITIA WATU WANYONGE NA MASKINI.
Oh! Nasimamisha ajira ndan ya mwez 1 na nusu haitazid 2 mpaka leo. Mtetezi unasimamisha ajira? Achen ujinga kbsa
KWANN ASIPUNGUZE RIBA KM MTETEZI WA WANYONGE? MILION 50 KILA KIJIJI IMEISHIA WAPI?
 
Ufipani hawawez wakakubali
mnyonge gani huyo unayemzungumzia? -Kodi na vat vyiko juu -No increment na hakuna kupandishwa
madaraja? -HELSB 15% kaa kimyaaa MTETEZI GANI WA WANYONGE UNAFANYA UHAKIKI
USIOISHA ILI USIWAPE WATU STAHIKI ZAO. ACHENI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA KUPITIA WATU
WANYONGE NA MASKINI. Oh! Nasimamisha ajira ndan ya mwez 1 na nusu
haitazid 2 mpaka leo. Mtetezi unasimamisha
ajira? Achen ujinga kbsa KWANN ASIPUNGUZE RIBA KM MTETEZI WA
WANYONGE? MILION 50 KILA KIJIJI IMEISHIA WAPI?
 
Back
Top Bottom