masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
- Thread starter
- #101
Mkuu sielewi swali lako ni lipi, ni kuwabeba wazawa au lile aliloahidi kuwasaidia wazawa kukopa benki?"magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa" mkuu taratibu na vigezo vya kukopa unavijua na ulishawahi kukopa? usijibu kimhemko tafadhali, ukijibu tutaendelea kujadili.