Magufuli kweli ni Rais wa wazawa!

mnyonge gani huyo unayemzungumzia? -Kodi na vat vyiko juu -No increment na hakuna kupandishwa
madaraja? -HELSB 15% kaa kimyaaa MTETEZI GANI WA WANYONGE UNAFANYA UHAKIKI
USIOISHA ILI USIWAPE WATU STAHIKI ZAO. ACHENI KUTAFUTA SIFA ZA KIJINGA KUPITIA WATU
WANYONGE NA MASKINI. Oh! Nasimamisha ajira ndan ya mwez 1 na nusu
haitazid 2 mpaka leo. Mtetezi unasimamisha
ajira? Achen ujinga kbsa KWANN ASIPUNGUZE RIBA KM MTETEZI WA
WANYONGE? MILION 50 KILA KIJIJI IMEISHIA WAPI?
 
mtu unafurahia kukopa? vipi kuirudisha unafikiria?
Wenye akili wanakopea vitu vya akili kukuingizia faida.
Wewe inaelekea wafikiria kukop ili kumtambia kijana mwenzio na kumkosha girl friend wako.
 
Sijasoma kuyumba, sijasomeshwa n serikali n mwisho kbs ELIMU yangu haina ukakasi wa ufeki km PHD zenu za magumashi ndio raha ya kusoma abroad maana unapata exposure kubwa sn sasa ni ngumu kwangu kudanganywa n mtu asiyekuwa n uwelekeo
Umesoma abrodi gani yenye kushindwa ku inculcate values.
Kama ulisoma abrodi basi ni uchochoroni tu.
Tajiri wa roho ya korosho wewe.
 
Anything without organization is creation of chaos!. Hatuhitaji kutengeneza unrest environment kwa kudandia na kudakadaka mambo bila mpango wala malengo. Pumbaue ni wewe usiyejua lolote zaidi ya kusika ulaya wamefanya nini unadakika bila kujua hawafanyi kitu bila ramani kamili.

Wanatimuliwa wahamiaji haramu siyo wahamiaji halali. Wewe ni puumbavu unayedakia agenda bila kkuelewa.

Kama hujui tofauti ya indigenous na citizens uliza . Pumbavue wewe ndiy huna kichwa una bichwa boga.
Its obvious umeshindwa kujibu hoja, now you getting low!
Na Trump anapowakataza matajiri wa kimarekani wenye viwanda kupeleka viwanda vyo Mexico, akili yako inakutuma vipi?
Nyie ndo mmesoma kimagumashi na mna vyeti vya kuombea kazi lakini thinking capacity ni periliously low.
 
Wenye akili wanakopea vitu vya akili kukuingizia faida.
Wewe inaelekea wafikiria kukop ili kumtambia kijana mwenzio na kumkosha girl friend wako.

hopeless kabisa wewe ni kijana yupi na mnyonge yupi au masikini gani akapewa mkopo toka bank wenye riba nafuu?
 
Wenye akili wanakopea vitu vya akili kukuingizia faida.
Wewe inaelekea wafikiria kukop ili kumtambia kijana mwenzio na kumkosha girl friend wako.

halafu akili zako zilivyofinyu unawaza wote wapo kama ww kwenye kipind cha kusaka mapenz wenzio hatuish na girl friend tumeoa ndo mana unafurahia mkopo hujui madhara ya mikopo kwa wenye vibiashara vidogo vyenye kod zisizo na msingi vichwa wala miguu
 
umenena vyema mkuu japo humu hawawezi kukuelewa coz bado wanafanya kampeni hawa. Sasa hivi riba nmb ni 22% hapo si unataka kifo cha wazawa ukizingatia umeshatoa 15% ya bodi ya mikopo na hujawapa annual increament wala hujawapandisha madaraja hata huko bank watakopesheka kweli?
nmb sasa hivi 23% brother!
 
What do you want from me? Nimesema if you can not talk points, don't force yourself into my postings. Unalazimisha interaction na mimi ili nini? Nimesema GO AWAY!. Sina muda wa kupoteza na mijuhan inayoona mwisho wa pua zake. Kwendaa huko wewe sina muda wa kusema na wewe.
Ha ha ha!
Dont get annoyed young man, and on the way exposing an undesirable character
 
Mteteni huyo Mtetezi wenu ambaye hana vision kuwa nchi inahitaji nini kwasasa kabaki kulalamika wakati ana kila kitu hivi zamani watu walikuwa hawakopi? Toka riba ikiwa 17,18 n sasa ni 22%puuzi ww unakopeshwa kwa vigezo sio porojo za lumumba au chato
Na wewe wale wale pia. Hakuna kinachobakia pasipo mabadiliko ulimwenguni.

Aina yako ndio wale ambao wakiona mtanzania anapiga hatua za kimaisha mnaenda kwa waganga.

Nyinyi ndio mnatengeneza mazingira yanayowatajirisha wageni na watanzania wanabaki na ulofa wao ule ule.
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
Wazawa wapi tena?CRDB hizi sio wazawa?Au wazawa nusunusu?
 
Na wewe wale wale pia. Hakuna kinachobakia pasipo mabadiliko ulimwenguni.

Aina yako ndio wale ambao wakiona mtanzania anapiga hatua za kimaisha mnaenda kwa waganga.

Nyinyi ndio mnatengeneza mazingira yanayowatajirisha wageni na watanzania wanabaki na ulofa wao ule ule.
Mkuu huyo jamaa anajiita tajiri, mimi nasema ana roho ya korosho.
Kweli kuna watu wakipata hawapendi kabisa wengine wapate, ndo aina ya huyo jamaa.
 
Hivi anahamasisha wazawa kukopa au anatafutia ma bank biashara. Hivi kama anawapenda wazawa angewahamasisha wakope au angehamasisha mabank wapunguze riba

Ni hoja nzuri ya kubadilisha kuhusu riba. Hiyo riba na masharti ya nafuu. Lakini je tukikopa tutazirudisha hizo hela? Hapo ndipo mabenki wanapo kwama kidogo.
 
Jana nimeona kwenye luninga Rais John Pombe Magufuli akihimiza wazawa kuendelea kukopa na kutumia vyombo vys fedha kukopa na kupata mitaji.

Leo gazeti la Nipashe pg 5, kuna kichwa "Magufuli kuwabeba wazawa kibenki".

Nampongeza sana rais wangu kwa kuendelea kuwatetea wazawa na hasa wafanyabiashara wadogo ili wajitegemee.

Magufuli hakuanza leo kuwabeba wazawa, nakumbuka aliwahamasisha hata wakandarasi wazawa kuungana na akawapa kazi, tukikumbuka daraja la Mbutu ambalo nasikia wazawa hao walilijenga ndani ya viwango na bajeti.

Mcheza kwao hutuzwa, heko Rais John Pombe Magufuli, kuendeleza wazawa ndio dili nzuri ya kisiasa.
Hatukopeshi watumisha hata kama ni wazawa kwa sasa
 
Ha ha ha
Eti kwa kuunga unga teh teh teh unafikiri mm ni km yule wa kwenu aliyepata dvn 0 form 6.
Elimu imenisaidia sana ndiyo maana nimeweza kuelewa yote malaika wenu anavyowadanganya. ww ndiyo haijakusaidia na ulipoona comment yangu ukaindandia kwa mbele ndiyo maana haujambulia kitu. NGOJA NIKUELIMISHE WW KI.LA. ZA wa mtu.kufu

MTUKUFU WENU ALIPOSEMA WATU WAKAKOPE BANK HAPO BADO HAWAJAWASAIDIA WANYONGE LKN MTU AMBAYE HANA AKILI TIMAMU KM WW UTAONA KM AMEWASAIDIA.
UNAJUA KILA.ZA HAKUNA BANK YYTE INAYOKOPESHA BILA RIBA WALA MASHARITI MY POINT IS ANGEPUNGUZA RIBA NA MASHARITI ILI KILA MMOJA AKOPE.
KWA VILE WW UMESHAZOEA VYA BURE KM NCHI YA VIWANDA NA MILION 50 UKAFIKIRI UNAKOPA BURE. TEH TEH TEH TZ WAJINGA WENGI SANA. RUDIA KUSOMA COMMENT YANGU UPYA.
PU.MBA.FU SANA WW KILAZA WA MTUKUFU NDIYO MAANA ALIWATIMUA UDOM. VIP MLIPELEKWA WAPI BAADA YA KUFUKUZWA UDOM?
Usijitafutie sifa kwa kuonyesha ujinga wako mtandaoni.
 
Back
Top Bottom