barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,375
- 29,732
Kaonewa kutolewa TIC? Ina maana yeye ndo pekee alistahili hapo? Kaambiwa kama bado anataka kufanya kazi serikalini atapangiwa sehemu nyingine. Naamini kama ni mchapa kazi bado tunamuhitaji.Halafu eti watu wanataka watanzania wa Diaspora warudi kufanya kazi nchini.Na mijitu isiyostaarabika na kuheshimu taaluma za watu kama hii?
Wamemuonea sana huyu Dada. Sio haki hata kidogo.
Alafu pia wee jamaa ni kilaza, muda wa JK hao diaspora walifunguliwa milango, ni nini walifanya kupitia huyu mama na TIC? Ebu tuambie wamewekeza nini!