dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,509
Wabaki huko maana hata wakija wanaishia kuingia mikataba ya hovyo tuKwa mfano huu wa aliyekuwa mkurungezi wa TIC wataalam wengi wa Tanzania wanaofanya vizuri nje ya nchi wataogopa kurudi Tanzania kuisaidia nchi yao kwa kuogopa aibu kama aliyoipata Bibi Julliet Kairuki.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums