Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Unatimiza majukumu yako ya kuwalea na kuwapa mahitaji yao ya msingi.

Ila ukitaka kujua uchungu wanao pitia wazazi wa single mother, hata mabroo wa single siku ikikutokea kwa binti yako ambaye yupo kwenye himaya yako.

Wanaume tunapenda ngono, ila tujitahidi kujizuia kuzaa hovyo hovyo na wanawake tofauti.
Kutokuzaa na pisi ya namna hii kutakuwa na tatizo mahali..
leo3.jpg
 
Kutokuzaa na pisi ya namna hii kutakuwa na tatizo mahali..
View attachment 2973080
Chizi anafurahisha akiwa wa Jirani yako,kwani lazima uzae nae.

Unamjua Kevin Twisa yule kagonga sana Mamiss wa waliokuwa wakishiriki Miss Tanzania,enzi hizo akiwa Vodacom kama mkuu wa kitengo cha mauzo na hajawazalisha hovyo.

Mbona ngozi kama hizo hata sisi tunagonga,hila hatuna ulimbukeni ulikuwa nao ww.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom