Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Wazee wenzio wakat wanatafuta viwanja magomen na kinondon ww ulkua unaangaika na hips za pis kal kuzkomoa kwa kuzizalisha haya tuko apa mwanaghati tunajpgia uzao wako pole pole
Ebu soma huu uzi..
 
Ebu soma huu uzi..
Uez kunielewa kama huna D kwanzia 2 mzee wanguπŸ˜‚
 
Uez kunielewa kama huna D kwanzia 2 mzee wanguπŸ˜‚
Tusiogopeshwe na kelele za chura, tangu enzi za mababu na mababu watu wanatafuta maisha tu, ukiangalia mwisho wa siku wanaishia kufa tu wakitafuta maisha na wanakuwa hawajafanikisha ata kumiliki visima vya uchimbaji wa mafuta n.k; maisha ni sasa, kula maisha nenda ngorongoro, serengeti, himalaya, apalachia n.k
Kila siku tusiwe tunawaza mifuko ya simenti tu na matofali :D ; mbinguni hakuna tuzo.​
 
Uwa unaandika serious mada zako au huwa unachangamsha jukwaa?kwa mwanaume mwenye akili timamu hawezi kujisifu kuzaa watoto hovyohovyo.
Otherwise kichwa yako ina matatizo
Kama viumbe vyote viko hivyo; kwa nini binadamu tu?
Ndio inatokea una vijana 20 wote wamepanda hewani na kila mmoja na mama yake, wanakuwa wanamzungukia mzee hapo kijijini siku za wkend kutokana na uzee wake; hapo utakuwa unajisikiaje?​
 
Poor you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom