Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,153
- 26,152
Hata mimi simwelewi ni maskini gani hao anaowazungumzia!Akiwa IKULU anasema yeye ndio amezunguka nchi nzima anajua Shida za WANANCHI MASIKINI na ndio waliompigia kura Kwaio SERIKALI YAKE NI YA MASIKINI.
Akiwa kwa hao MASIKINI anawaambia MWAAFA. Hakuna MSAADA kila MTU ABEBE MSALABA WAKE.
Sijui ni Masikini wapi huwa ana wazungumzia.