Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,764
Haha akili zako bwana.. Anyway kwa vile kila MTU yupo huru na maoni yake na umesema mziki ni subjective.. Ngoja tukuache but lazima ujue Dube katamba Africa tu sio world wide..Denis Nkane bora kumzidi Messi heshimu pia mawazo yanguBro, dube wajamaika wenyewe walinyoosha mikono, kwenye charts za raggae roots dube anafuata baada ya bob Marley, huyu mwamba uwezo wake wa kuimba kwa hisia, sauti nzuri, uwezo jukwaani sio mchezo, album yake ya victim ilivunja record ya kuuza copy million mbili