Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 793
- 2,020
Bob aliuza copy nyingi za album zake ni nyimbo zake nyingi kama one love, Zimbabwe, redemption, Africa unity, no woman no cry, natural misticky, war, bado vina hit mpaka leo ila luck dube alileta mapinduzi kwenye huu mziki kwa kuleta vionjo na sauti mchanganyiko. Kwa mfano ukisikia kibao cha I wanna know what love is na gun and rose utagundua huyu Mwamba alikuwa geniusHuyo Bob Marley ni overrated raggae music Singer ever.
Tena sijaona chochote ktk nyimbo zake zaidi ya "Buffalo soldiers"
Kibaya zaidi enzi zake unakuta bit rate ni poor, poor, pua