Lucky Dube Mwanamuziki Bora wa muda wote wa Reggae

Huyo Bob Marley ni overrated raggae music Singer ever.

Tena sijaona chochote ktk nyimbo zake zaidi ya "Buffalo soldiers"

Kibaya zaidi enzi zake unakuta bit rate ni poor, poor, pua
Bob aliuza copy nyingi za album zake ni nyimbo zake nyingi kama one love, Zimbabwe, redemption, Africa unity, no woman no cry, natural misticky, war, bado vina hit mpaka leo ila luck dube alileta mapinduzi kwenye huu mziki kwa kuleta vionjo na sauti mchanganyiko. Kwa mfano ukisikia kibao cha I wanna know what love is na gun and rose utagundua huyu Mwamba alikuwa genius
 
Yani mara 100 nisikilize hata singeli au taarabu kuliko hizo nyimbo za huyo Marley.

Sikatai zilikuwa na ujumbe, lakini hazijawahi kunivutia hata kidogo.

Lucky Dube ni hatari sana, kama ni sumu tunasema "weka mbali na watoto"

* Hand that giveth

* Oh my Son (I am sorry)

* You have got a friend.

Lucky Dube ni
 
Your the one!
Hiyo pin achana nayo
Kaa sawa sikiliza the way it is
Ule vitu

Ukitulia sikiliza victim
Utikise kichwa
Ukiona nima sikiliza
Slave feed


Rip dube
Walio kuuwa na wapate raana hata huko waliko
Huyu mwamba huyu nime mnyooshea mikono.

Mirror Mirror- lucky dube
 
Luck hakuwa kiumbe cha kawaida vibao kama " teach the world'' crazy world, fugitive mpaka sasa Africa sijaona song writer kama huyu mwamba
 
Nasikitika kumwambia mtoa maada kua haijui Reggae music vizuri, wakiitwa wasanii top 5 Lucky Dube hayumo mfano;
1. Bob Marley
2. Burning Spear
3. Joseph Hill ( Culture)
4. Peter Tosh
5. Alpha Blondy
Dube alikua msaani mzuri kwa Africa lakini sio level za dunia
 
Bro, dube wajamaika wenyewe walinyoosha mikono, kwenye charts za raggae roots dube anafuata baada ya bob Marley, huyu mwamba uwezo wake wa kuimba kwa hisia, sauti nzuri, uwezo jukwaani sio mchezo, album yake ya victim ilivunja record ya kuuza copy million mbili
 
Well kwenye moja ya interview aliulizwa , how did you get the name " lucky dude " he replied " well lucky is my first like the name James and dube is my last name like is in the name handsane.

he continued that her mother did not get a baby for a long time then he finally got him . And after like three months her mother got very sick and she died after that there was a very long break and when he was like 3 years old he also got very sick.

he said everyone thought he was also going to die but he didn't . So everyone said a boy is so lucky, he didn't have a name untill he was 6 years old . So that is how he got the name lucky dube .

Hivyo ukiangalia maisha mbaka hapo unaweza pata picha jinsi kwanini lucky dube yupo vile alivvyo .
 
Kwani Lucky Dube alikuwa anaimba aina gani ya reggae?
 
Weka hizo chati hapa tuone, usituletee stori za vijiweni.
 
Kopi milioni 2 ndio rekodi? Labda ya huko Soweto.
 
Wajamaika wa wapi? Dube anaimba aina gani ya reggae? Unacho taka kusema it's like Harmonize anaimba Mapiano kuliko wasanii wa wasouth Africa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…