Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Kwani Uwoya na huyu dogo mvaa vikaptula wana shida gani?

Japo wameondoka wote tarehe moja, ndege moja hawakuwahi kuposti picha pamoja, japo wote wako sehemu moja.

Kila mtu anaposti kivyake yani tangu waondoka June 22 hadi leo August 08 ndiyo wameposti picha ya pamoja.

Kwani huyu dogo na Uwoya ni mashosti au kuna kitu walikua wanaogopa, japo kila mtu anaposti kivyake lakini hadi vyumba walivyofikia vinafana.

Sema huyu dogo sijui? Isije ikawa "sponsa" kawabeba wote kivyao vyao.

Binadamu kam wewe sijui nakuonaje tu aisee...sijui ni umri wako ndo mdogo au ni mjinga mjinga labda.

Unakuja mitandaoni kumsema mtu na maisha yake inakusaidia nini sasa,unakua umekosa cha kufanya?
 
Binadamu kam wewe sijui nakuonaje tu aisee...sijui ni umri wako ndo mdogo au ni mjinga mjinga labda.

Unakuja mitandaoni kumsema mtu na maisha yake inakusaidia nini sasa,unakua umekosa cha kufanya?

wewe kuja kwenye huu uzi na kuweka comment ni kwamba huna cha kufanya? Au inakusaidia nini? Jitafakari inawezekana wewe ndo mwenye shida. kuna majukwaa kibao ya wasomi kama wewe huko kwenye siasa na jamii intelligence….huku waachie wenyewe..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom