Loydemich na Irene Uwoya wavinjari Dubai kwa zaidi ya mwezi mmoja

Status
Not open for further replies.
Baada ya kufuatilia comment za uzi huu,, kuhusu kinachoendelea kwa Mr vikaptula na uwoya huko Dubai.
Ilibidi niingie chimbo kujuwa who is Mr vikaptula?
And why?

Je? Yeye ni sponsor au ni wali Nazi?

Majibu ni kwamba Mr vikaptula ni ubwabwa Nazi.

Code nimepewa na mtu wangu mwaminifu kabisa.

Sponsor kawabeba wote uwoya na mke mwenzie..
Huyo ni mke wa mtu kabisa!!..
Huyo mbona twajua ni chaklaaaa!!kitambooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo vikaptula alivokaatu n
Urojo Kama lokole
Na huyo aliyetoa code alishawahi kunambiya kuhusu Umeme wa kidato wa uwoya.
Kipindi kile yupo na Dogo zoba..
Nikijumlisha doti za comment kwenye uzi huu ,,ebwana ni kwl kabisa..

Nilishare Uzi huu kwa shemeji yangu mmoja mwenye code nyingi sana,

Bila kumuuliza ,,,

Akanipa jibu moja tu.
Huyo ni wali Nazi na ukitaka anayempakuwa pia nakujulisha..nipe muda.
 
Na huyo aliyetoa code alishawahi kunambiya kuhusu Umeme wa kidato wa uwoya.
Kipindi kile yupo na Dogo zoba..
Nikijumlisha doti za comment kwenye uzi huu ,,ebwana ni kwl kabisa..

Nilishare Uzi huu kwa shemeji yangu mmoja mwenye code nyingi sana,

Bila kumuuliza ,,,

Akanipa jibu moja tu.
Huyo ni wali Nazi na ukitaka anayempakuwa pia nakujulisha..nipe muda.
Anaye mpakua ni nani
 
Shilole ana akili na alitokea kwa shida so anajua maisha ni nini hata akidanga Shilole ana nyumba kadhaa pia analea wale mabinti zake vizuri tuu.

Hamisa na yeye baada ya kuchekwa na watu na kuzalilishana na kina Mama Dangote na kina Zarina akapata akili mpaka sasa ana mjengo wake mzuri tu mjini, na hata Joketi hawawezi kufa njaa shida ni kubwa jinga uwoya ana danga na kufanya show off ka za teenager ha think about future aisee.

Vera sidika kadanga vya kutosha na kuwekeza hana stress kajioopolea ki Ben ten chake anakula life

Kumbe hamisa ana mjengo. Showoff za irene uwoya hata hazirushi roho sana sana anafanya watu wamuonee huruma tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom