TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,743
Sababu? Kama ni hofu ya kutumbuliwa, Magu ni wa Watanzania na siyo wa CCM. Hoja yako hiyo hiyo i-reverse kama kura za siri zitapigwa ndani ya CHADEMA au kwa watanzania wote, LOWASSA ataambulia nini?Na kiukweli kabisa ukiacha misimamo ya chama na kuweka ya moyo, basi ukiitisha kura ya siri ndani ya hiyo Kamati Kuu kwa majina mawili ya Edo na Magu hakika Magu ajipata 30% basi ana bahati.