ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,547
Kwa kweli ile ndiyo ilikuwa KUISOMA NAMBA KWELI. ..NA KWA IMANI YANGU NINAAMINI VIZURI VINAISHI. ..maana kuna KARMA. .unavuna uliyoyapanda. ..Hiyo ndiyo UNIVERSAL LAW...hamna ujanja PERIODmaisha magumu ya kula ugali wa njano.bia kunywa mwisho mbili,sabuni mpaka foleni,sitalki kukumbukaaa