pappilon
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 3,192
- 3,558
Asante kwa jibu lako mujarabu kabisa hivyo wanaomsema yeye alisababisha hali fulani wanakosea na lawama zao wazipeleke kwa mkuu wake
Mkuu niliposema alileta shida nchini nilimaanisha yeye na serikali ambayo yeye ndo alikuwa kiranja mkuu pamoja na mkuu wa nchi..
Kwanza mm huwa napingana sana na jinsi Mwalimu alivokuwa anaendesha nchi...sema tu sasa alishaonekana mtakatifu kwa hyo kumpinga hadharani lazima uwe na akili ya mwendawazimu