Kwanini wanawake mnatusumbua mkiwa wajawazito?

mimi nimechoka na Hali ya wife yaan ana mimba ya miezi 2 now. daa yaani nyumba imekua kero mara leo nataka kuku wa kienyeji, mara mbuzi, mara nisiende kazini anataka tuu tukae nae home ila hataki kabisa tushiriki tendo la utam nimechoka sasa upepo wake umehamia kwenye supu na machungwa.. nimechoka imebd nisafiri nitulize mawazo.. hivi ni Hali au samtime wanafanya maksudi?
Huyu mke ni yule uliyemla tigo au ni mwingine? Hivi mnajiskiaje kupost uongo kusumbua watu?Kila mara una story mpya na ya kipekee,Afadhali zile za moniccca na juvenile davis zina series inayoeleweka.
 
Shoga angu alikua hampendi Shemeji ake before hata hajapata ujauzito basi alivopata ujauzito ikawa sababu kushinikiza afukuzwe aisee
Hapa imenibidi nicheke peke yangu huku kama nikimuona vile shoga ako akimwambia shemeji yake kimoyomoyo "sa' ole wako nije kushika ujauzito, utanitambua!"
 
Raha ya mimba vitimbwi ha ha ha
Hata mi nakubali kwamba sometimes inaleta flavor hata kwenye mahusiano na mwenza wako lakini ikiwa too much; kila wakati unataka nikuletee maji ya kunywa eti kisa mjamzito huwezi kuinuka; wallah tena nitakuletea ndoo mzima ya maji na mabarafu juu hapo hapo ulipojipweteka.
 
Teh teh teh teh mkuu, yaani, Mola aliumba ila natamanigi itokee bahati mbaya mzazi wake hasa baba akute anajidekeza hivo! Yaani hata hawazi mtakula nini; ila tu kaa hapa tushinde wote! Kuna mmoja niliwahi ku do nae,tuko kwenye chumba choo/bafu ndani; ameshinda home amelala af eti kama humsindikizi kudo haja ndogo anajifanya analia kama mtoto. Eh ndo facebook generation kaka! Yaaani itafika mahara tuwe tunauziana tu watoto maana hizi laana zitakuwa lawama
Mi nataman wanaume washike mimba
 
Nimeshawah kuchukiwa na mume wa mtu mke wake alinipenda sana na kumgukia mume wake kipind cha ujauzito wake muda wote anataka niwe karibu naye nikipata wakat mgumu sana maana alikuwa ananifuata mpaka nyumbanii ni shidaa
 
Bora kama anasumbua unajitafutia kamchepuko ukitoka job unapitia huko, ukirudi amelala asubuhi unaondoka kabla hajaamka.
 
Mi nataman wanaume washike mimba

Aahhhhh kumbeee!Ndo haitokei sasa.Endelea kutamani na utamani aise!Kuliko maisha ya vile si bora tuwe tunawapiga bungurusi tu! Siku moja wangu katoka Shyinyanga town kaja Kahama. Kaniambia anataka nyama choma na anataka ya CCM tu(Shinyanga huko)!Alilala analia weeee kisa sijaenda kununua nyama Shinyanga! Jumapili namwambia rudi uende ukale nyama eti kama hatutakuwa wote mi sili.Jamani; acheni kusumbua wenzenu.Vinginevyo tutasafiri mwanzo mwisho tuwe tunarudi mkijifungua. Unaambiwa usijipakae mafuta,badae eti umepauka; kapake lotion flani. Ukipaka eti usinisogelee una harufu ya mawese. Ukiamka eti uaenda wapi na shuka langu! Na hilo ataka nijifunike mie. Hivi nyie wanawake, hii si laana yenu toka kwa Sir Godi kweli!? Yangu macho. Unadhani kwa stairi hii kama mtu ana kamchepuko utamuona tena? Nafika nakujulia hali, ukileta zako najifanya napokei simu natoka nduki.Mpaka akili itakapokukaa sawa.Mmezidi visa nyiee
 
Ila asilimia kubwa wanajiongeza kisa ana mimba bas atakusumbua makusud kabisa ile ni nature wala haina shida kama msemavyo Mungu ni mjuz alifanya haya kwa ustad mkubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom