Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,324
- 50,570
siyo rahisi, unajua kwamba hata mtu hakumbuki, mimba hubadili mtu sana, baada ya wiki 6 za kujifungua ndo at least unaanza kujisikia normal... yaani kuna vitu huwa vinagoma kabisa,Sawa, naweza kukubaliana na wewe ktk hili. But let's be honest here... hivi kweli hakuna wanao take advantage ya kuwa wajawazito na kupenyeza agenda zao to look like pregnancy outcomes?!
halafu baadhi ya sense hufanya kazi zaidi kuliko mtu akiwa kawaida. being pregnant basi tu wanaume hamuelewagi...