Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,311
KWANINI AFANYE HIVYO ILI? WEWE NDO UNAIAMBIA AKILI YAKO IWAZE KUWA WANACHUKUA ADV KITU HICHO KINAKUSUKUMA KUJENGA HASIRASawa, naweza kukubaliana na wewe ktk hili. But let's be honest here... hivi kweli hakuna wanao take advantage ya kuwa wajawazito na kupenyeza agenda zao to look like pregnancy outcomes?!