Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Huyo dereva anaekula 450k labda uko halmashauri. Kuna madereva tumeingia nao kazini taasisi moja wanakula 860k kwa mwezi bado safari bado marupurupu kibao wanakomba
 
Hapana ngoja nikupe wale mshahara TGS B1 450000 baada ya makato wanalamba kama 40+s lakina hao hawana nauli ya kwenda kazini wanalala na gari lakini pia wanapewa pesa ya kulaza gari na kuosha kwa mwezi ni karibu 300,000 akipata safari hatari mpk maHR huwa wanawatamani .
Mzee taasisi ipi mtu anapewa cash ya kulaza na kusafisha gari achana na stori za vijiwe.

Kama mafuta Watu wa pmu wanaingia ubia na serikali.

Dereva anaponufaika ni safari pekee.
 
ndugu yangu kumbe uko kutam hivi
 
Mzee taasisi ipi mtu anapewa cash ya kulaza na kusafisha gari achana na stori za vijiwe.

Kama mafuta Watu wa pmu wanaingia ubia na serikali.

Dereva anaponufaika ni safari pekee.
Fanya tafiti mkuu taasisi hazifanani wewe unategemea dereva anapewa gari alale nalo analipark wapi na linaoshwa vipi! Ukiona haupati hiyo kitu basi ni changamoto ya taasisi husika kuhusu fedha lakini hilo lipo
 
Hapana ngoja nikupe wale mshahara TGS B1 450000 baada ya makato wanalamba kama 40+s lakina hao hawana nauli ya kwenda kazini wanalala na gari lakini pia wanapewa pesa ya kulaza gari na kuosha kwa mwezi ni karibu 300,000 akipata safari hatari mpk maHR huwa wanawatamani .
Hapo kweny kuosha gari na kulaza gari ni kamba unatupiga Mzee. Soma majukumu ya Dereva kweny Tangazo la ajira utaona kuosha gari nani anahusika na kulaza gari ya serikali hairuhusiwi kulala nyumbani kwa mtu kuna sehemu maalumu ikiwemo Police,shule,Taasisi sehemu zenye ulinzi. Kweny Trip kweli madereva wanapiga Per diem
 
Nadhani nyie mpo halmashauri huko ndio madereva wanaishi kwa ugumu sana maana huko kwanza hawaruhusiwi hata kulaza gari nje ya ofisi dereva akishamshusha kiongozi anarudisha gari afisini, dereva sio muosha magari ila anatakiwa kuhakikisha gari safi anawezeshwa fatilia kwanza kabla ya kubisha
 
Back
Top Bottom