ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,575
- 2,192
Asante, so kwenye jukumu mojawapo wanaweza kutunga swali?angalia majukumu ndipo mara nyingi wanatoa humo
Asante, so kwenye jukumu mojawapo wanaweza kutunga swali?angalia majukumu ndipo mara nyingi wanatoa humo
Soma yote kwa umakin tu maswali mengi ni technical & too generalAsante, so kwenye jukumu mojawapo wanaweza kutunga swali?
j3 utakuta sehemu ya advertisment vimewaka vyote watendaji wa halmashauri.. 🤣 🤣Dah vimulimuli vingi vimezima...tusubir j3 sijui watawasha kipi
Hehehehee wanasiasa wakitoa tamko..pdf linakua limeshiba, upepo ukipita ndio zinaanza single pagej3 utakuta sehemu ya advertisment vimewaka vyote watendaji wa halmashauri.. 🤣 🤣
Wametoa tamko ganiHehehehee wanasiasa wakitoa tamko..pdf linakua limeshiba, upepo ukipita ndio zinaanza single page
Bungeni juz juz walitoa tamko kuhusu ajira...pdf lilitoka limeshibaWametoa tamko gani
Madereva jeJumatatu kesho IT Tunaomba watendaji vijiji usiwape nafasi. Wapotezee kwa muda Ndugu yetu IT
Nauliza tena, tamko gani?Bungeni juz juz walitoa tamko kuhusu ajira...pdf lilitoka limeshiba
Fuatilia bunge ww...waziri kasema wamesainiwa kibali cha kuajir...Nauliza tena, tamko gani?
Nifuatilie bunge ili nijibu oral?!! Una umri gani?Fuatilia bunge ww...waziri kasema wamesainiwa kibali cha kuajir...
Usikae mbali sana na siasa...kuna mambo yanatoka humo oral..heheh
Unanichosha unachelewa kufikiriNifuatilie bunge ili nijibu oral?!! Una umri gani?
Kwakweli Huwa wanalamba asali kila siku. Ila mimi ningeomba IT awapotezeeDuh naona Makabi Lilepo na Utawala2025 mnawasagia kunguni wenzenu sasa hizo kada ndio hazikaagi database na mkeka ujao wamo wa kutosha tu
🤣 🤣 🤣Kwakweli Huwa wanalamba asali kila siku. Ila mimi ningeomba IT awapotezee
Mimi pia nipo kada iyo. Na nimekandwa mbili na oral Moja. So Kwa nilichokiona Kwa utumishi kuhusu kada wetu kaka penda kupitia notes, vitabu vya masomo mala Kwa mala kaka. Usitegemee kusoma labda Kwa magroup ya Whatsapp ambapo wadau wanatuma maswali uko. Uko kuweziada tu. Kikubwa penda kupitia mala Kwa mala. And don't forget to PRAY. Amini tutatoboa.human resource management/administration
Daa mkuu Mungu na Psrs wakuoneKada yangu ni Muuguzi .
Karbia kila mkeka unatoka kada yangu iko .
Nimefanya Written kadhaa oral mwaka jana mwezi wa nane mwajiri alikuwa Hospital kubwa tu nchini.
Kinwchoniuma ni kuwa rafiki zangu wote wa kada yangu waliofanya oral zilizopita wako kazini.
Ila mimi nilipofanya tu oral hata database