Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Naamini mkuu ila penye juhudi tu.

Huwezi kusema unaamini uwezo wa Mungu halafu ulijibu swali moja tu kwa uhakika halafu mengine ukawa hauna uhakika kabisa.
Mkuu pengine ulilojibu uhakika ndio umeingia chaka, na yale uliobahatisha ndio umeokota maksi za kutosha.

Usiwe mwepesi wa kukata tamaaa mkuu, Sote tutafika nchi ya ahadi ni swala la muda tu.
 
Naamini mkuu ila penye juhudi tu.

Huwezi kusema unaamini uwezo wa Mungu halafu ulijibu swali moja tu kwa uhakika halafu mengine ukawa hauna uhakika kabisa.
Kaka nilifanya interview sehemu nikajibu maswali yote nikafaulu lakini sikua shortlisted kwa Oral. Interview nyingine nilijibu swali moja kwa usahihi mawili nikajibu nusunusu na moja sikujibu lakini nikawa shortlisted
 
Hapana mzee inawezekana Kuna Pepa moja mwaka juzi nadhani tulienda udom pale sasa tulikuwa na jamaa zangu mmoja hivi alikuwa anapenda kujitenga sana as unajua wale watu wanaokuwaga na gpa kubwa sana wanaonaga hata hawatakiwi kudiscuss na wengine sasa akawatenga washikaji wakaja maeneo niliyokuwa wanalalamika nikawambia tulie tupitie hizi notes tukapiga msuli fresh Pepa ikaja tukapiga ,ile tumetoka jamaa anakwambia aah Pepa imetoka mule mule na Hawa jamaa wengine wanasema hawaelewi walichojibu ,majibu kuja kutoka yule jamaa alipata 23 mzee na wengine wote wale walienda oral ,kwahiyo hizi mambo usikate tamaa pia usijiamini sana na kuwatenga wengine hata kama umewazidi uwezo
Mimi ikifikaga ishu hizi huwa najishusha hata kwa yule ambae najua nimemzidi uwezo lakini najua lazima kuna kitu lazima atakuwa nacho tu.
Na pia destiny ya mtu haipo kwenye maamuzi yetu ni nature ndio inakuchagulia pakwenda
Hii vice versa ni kiboko sana.

PSRS hawana undugu na jobless
 
Kaka nilifanya interview sehemu nikajibu maswali yote nikafaulu lakini sikua shortlisted kwa Oral. Interview nyingine nilijibu swali moja kwa usahihi mawili nikajibu nusunusu na moja sikujibu lakini nikawa shortlisted
Bora ww miimi kuna manzi mmoja nilipiga nae oral tulipotoka akasema nimejibu swali moja tu placement inakuja yumo,,,Ukweli ni kwamba kwe Oral huwa wanangalia vitu vingi mno
 
25,000/-, 30,000/- hadi 45,000/- inategemea na size ya ujobless wako. Me nshajizoelea kukata ya 25k
Ahsante kwa muongozo mkuu, Bila shaka siku inaenda vizuri pande hizo.

Hii 25k ndio nauli yangu ila haina gari specific kwa sababu huwa napandia stand siku hiyo hiyo(huwa sikati tiketi siku kabla ya safari).
 
Nipo nasubir muafaka wangu either niendelee kupauka Dodoma ama nirudi Dar
 
Back
Top Bottom