Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 45,847
- 65,169
- Thread starter
- #41
Kwa sababu hakuna vyuo vya binafsi vizuri zaidi ya vyuo serikali nchini na sehemu nyingi duniani vyuo bora ni vya umma, hata hivyo matajiri wengi sasa hivi wanapeleka watoto wao kusoma vyuo vya nje. Pia graduates wengi wasio na ajira/kazi ni wa masikini.Ni mtazamo wako.Serikali haina matabaka.Nenda Mzumbe,UDSM kama hutakuta watoto waliotika hizo shule za serikali mfano za kata na wamefaulu vizuri na kuwa admitted kwenye faculties nzuri tu na wakimaliza wanakuwa recruited sehemu mbalimbali.Tunao maofisini na wengine wamejiajiri wanapata kipati kizuri.Hayo mambo ya connection ni tamaa tu na fikra za kimasikini